Ni dakika 5 za Lowassa

Kwani Maneno ndo yanayofanya kazi? Lowasa ni mchapakazi na mtu mwenye maamuzi magumu na ndo sifa kubwa anayotakiwa kuwa nayo Rais, hatutaki rais mwenye maneno gunia nzima utendaji ziro, kama unapenda maneno mengi kamsikilize magufuli mzee wa porojo mara cjui sangara zenye mayai ziwa nyasa zipo 4, mara sato wenye sharubu ndefu wamepungua.
 
Eeh kwel mmechanganyikiwa lowasa ni rais na itabaki kuwa ivyoo najua ni ngumu kumesa kwa ccm ila mtameza tu

Chichiemu, Hawatemi, Hawamezi daadadeeki
 
Duh leo nimeami hata ukikutana na shetani atakumbia mabaya ya mungu.
 
swala ni kuiondoa CCM,Lowassa akifanikiwa hilo tu hata atawale nchi siku mmoja-atakuwa shujaa wetu-kazi ni kuiondoa CCM na hilo LOWASSA anaweza, Gwajima ameshasema huwezi zuia wakati na wakati uko na Lowassa
 
Lowasa mapema saa 4 na nusu atakuwa tayari keshaingia ikulu, kama humpend lowasa kalambe malimao!! LOWASSA hoyeeeeeeee!!
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.
kweli ccm mmechanganyikiwa,sasa inakuwaje mnafufua hata wafu wawasaidie kupiga kampeni dhidi ya mtu mnaejua Kuwa ni mgonjwa?
 

UNANIDANGANYA mwenyewe. Haturudi nyuma lengo ni kuiua CCM mengine mbele Kwa mbele. Haijalishi ataleta maendeleo au laa lakini tutamchagua hivyo hivyo, ni fisadi au si fisadi tutamchagua tu. Na huku kanda ya ziwa ndiyo ngome yake.
 
Tatizo si Lowassa wala Magufuli, Tatizo ni CCM. Lazima waondoke sasa, wameshindwa kila sehemu. Wananyanyasa wastaafu waliojitolea kujenga nchi yao, mafao yao wamepeleka kwenye kampeni na kuhonga wasanii.
 

akemee mafisadi akina nani? Hawezi kukemea ufisadi,sawa ufisadi ktk nini au wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…