Ya kwanza Mzumbe, then TIA. Wahitimu wake nimefanya nao kazi ni wazuri sana kwenye eneo hilo!
Nimesoma UDSM.....But katika eneo la Procurement and Supply Chain Management bado UDSM hawajanishawishi kabisa. University of Dar Es Salaam Business School inabidi wafanye kazi ya ziada ili kujenga msingi mzuri wa kozi hii. Initially, walikuwa na kozi kama hii but waliipa jina gumu lisiloeleweka vyema kwa waajiri...BCom(Management Science).