Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
Umejuaje kama kuna vyama vingi halafu usijue kipi chenye mvuto?
Sijui chama cghenye mvuto kwa sababu haujapiga kura. Ukishapiga kura ntaijua ni chama gani !
Chadema
Mkuu mbona mimi inazingua inasema eti sijachagua option nikibofya kitufe cha "vote now"Kuna vyama vingi nchini, ila kuna m\vyama vichache ambavyo uzungumziwa kila mara. Je ni Chama Gani Chenye Mvuto zaidi kwa Wananchi?
Basi shiriki kwenye kura hapo juu !
Moods walitizame hilo hata mimi mwenyewe nimejibiwa hvyoMkuu mbona mimi inazingua inasema eti sijachagua option nikibofya kitufe cha "vote now"
Kuna vyama vingi nchini, ila kuna m\vyama vichache ambavyo uzungumziwa kila mara. Je ni Chama Gani Chenye Mvuto zaidi kwa Wananchi?
Basi shiriki kwenye kura hapo juu !