Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,353
- 26,194
Ni Chadema tu, wengine mfano chama cha prof ni kuokoa jahazi.. sasa uifuatilie ya nini?Chadema imewakamata vibaya.
Kwa kasi ya CDM kwa sasa hasa bungeni na majukwaani hawa wanaonekana ni wana CCM.Prof.Lipumba wa CUF au Mrema wa TLP au Mbatia wa NCCR-Mageuzi au Cheyo wa UDP,...