Ni bora ukutane na nyoka kuliko snichi

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,651
Reaction score
4,758
Sijasema hivyo kwa kukurupuka...nina maanisha nachoongea...kutokana na different scenarios...zilizotokea hapa nchini...nikianza ni ishu iliyonikutaga mimi mwenyewe...

Niliwahi kuamua kwa moyo mmoja kushirikiana na wenzangu kufanya mgomo wa kufanya mitihani ya PRE mock...kutokana na reason kwamba walimu walikuwa hawafundishi...na syllabus ilikuwa hata haijamaliza hata nusu bado...

Tukakubaliana tugome kufanya pepa tufikishe malalamiko yetu...LAKINI UPUMBAVU ULIKUWA HAPA...WALIMU WALIKUJA NA PEPA MPAKA DARASANI...TUKAAMUA WENYE MIOYO MIGUMU TUJITOE MHANGA TUONESHE NJIA KWA WENZETU...HEEEEH TULITOKA WATANO TU...WENGINE WALITOA RULA ZAO...NA KALAMU ZAO WAKAPANGA MADAWATI YAO WAKAPIGA PEPA...NILICHOKA AISEE...

Ikatupata adhabu ya SUSPENSION YA MIEZI ISIYOJULIKANA MPAKA MKUU AAMUE...NI KWA SABABU MKUU ALIKUWA anatukubali tulikuwaga vichwa na wajanja wa shule...na sisi ndio tuliokuwa tunaicontrol atmosphere ya shule mpaka inachangamka...akatupigia simu after 3 weeks turudi tuwahi kufanya Mock...

Kuanzia siku ile...NILIAPA SITOKUJA KUJITIA KIMBELEMBELE KUWAPIGANIA WABONGO...HATA CHUONI...NAONA WAMELETA MISHE ZAO MBOVU ZA KUZINGUA KATIKA REGISTRATION...Kiasi kwamba unakosa kitambulisho cha kusainia boom for 3 weeks in college...wala hakuna anayeshtuka...kama zamani ilikuwaga yaani just 3 days...revolution square kishanuka...

Kingine ni ILE YA MANGE KIMAMBI NA WABONGO...HAPO NDIPO NILIPOWACHOKA WABONGO...

IWE KAZINI IWE CHUONI IWE URAIANI...SIHAMASISHI MGOMO KWA MASLAHI YA UMMA...NITAGOMA KWA MASLAH YANGU BINAFSI...

Snichi ni yule mnapanga wote pamoja...alafu anaenda kufokolewa huko...

Share your experience yako ya masnichi...
Hata kama wewe pia ni snichi...share hapa...

 
Kwenye mfano hapo juu uyo nyoka ni yupi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…