kabwinyola
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 564
- 707
Mkuu tangu nasoma post zako tangu ulipojiunga last friday naona umekuja na kazi moja! Ni ugeni au ni kazi uliyopewa ambayo huna weledi wa kuifanya? Kuwa makini wewe mgeni uwe na kifua huku watu wana kejeli dharau na maneno machafu so vumilia tu ila nadhani baada ya wiki utarudi kwa waajiri wako na kuwaambia huwezi kazi.Nakumbuka ilikuwa mwaka 1995. Ambako mzee lyatonga mrema alitikisa Tanzania hii,
Alikuwa mpinzani wa kweli
Ambaye
1. Hakuwa msanii
2. Hakuhonga watu na kuwasomba kwa malori kutengeneza mafuriko feki, ya kwake yalikuwa mafuriko halisi
3. Gari lake lilisukumwa km 23 tokea Bukoba mjini kuelekea sehem moja inaitwa katano ishozi , bila kumuhonga kijana yeyote
4. Aliweza kusababisha watu wazito kama kina nyerere kuingilia kati kwenye kampen
5. Mrema alipata umaharufu bila hata kuwanunua waandish wa habari na magazeti
6. Mrema hakuwa supported na walanguzi kuiuza Ikulu
7. Mrema aliogopwa na Ccm mpaka baadhi ya vituo masanduku ya kupigia kura hayakupelekwa
8. Mrema alizunguka Tanzania karibia robo tatu kwa gari na alikuwa na nguvu sana
9. Mrema hakutoka Ccm kwa kashfa za rushwa
10. Mrema hakuwahi kujiuzuru au kutuhumiwa rushwa na hapendi rushwa.
WATOTO WAJUZI WAKIJA ETI UPINZANI WA 2015 ULIKUWA MKUBWA KULIKO 1995 UMEDANGANYWA NA NAN , ULE ULIKUWA UPINZANI WA KWELI KUTOKA MOYON , HAKUNA KUANDAA WATU MFANO FRIENDS OF SOMEBODY AU FOR SOMEBODY MOVEMENT,
MREMA ULIKUWA JUU
Ni mremaUnamjua afisa usalama wa wilaya ambapo wafungwa walikufa kusababisha kujiuzulu kwa waziri ambaye alikuwa miongoni mwa wazawa 7 wenye digrii nchi ilipopata uhuru?
Utanielewa baadae mi nanMkuu tangu nasoma post zako tangu ulipojiunga last friday naona umekuja na kazi moja! Ni ugeni au ni kazi uliyopewa ambayo huna weledi wa kuifanya? Kuwa makini wewe mgeni uwe na kifua huku watu wana kejeli dharau na maneno machafu so vumilia tu ila nadhani baada ya wiki utarudi kwa waajiri wako na kuwaambia huwezi kazi.
Mrema tayari kisha jiingizia wakala humu si alikuwa mtu wa Propaganda yule kwenye kitengo,jamaa ana mpigia chapuo ila aelewa tu yule sio mlipaji afanye kibarua kwa hisani.Mkuu tangu nasoma post zako tangu ulipojiunga last friday naona umekuja na kazi moja! Ni ugeni au ni kazi uliyopewa ambayo huna weledi wa kuifanya? Kuwa makini wewe mgeni uwe na kifua huku watu wana kejeli dharau na maneno machafu so vumilia tu ila nadhani baada ya wiki utarudi kwa waajiri wako na kuwaambia huwezi kazi.
Kazi unayo mkuu? Nani kakwambia ukiwa kazini huwezi kuchangia humu? Ina maana hamna break ya tea lunch je? Na wakati wa kwenda na kurudi nyumbani mkuu kwenye gari na lifoleni lote hili unakuwa unafanya nini? Wewe utakuwa unafanya kazi kwa wahindi wewe!Hebu acheni unaaa mkuu wa kaya ameshasema hamna chakula cha msaada watu wafanye kazi. So tuondoke huku kwenye mitandao ya kijamii tukafanye kazi
Usijiinue sana kutangulia kuzaliwa hakumaanishi utatangulia kufa.Mkuu tangu nasoma post zako tangu ulipojiunga last friday naona umekuja na kazi moja! Ni ugeni au ni kazi uliyopewa ambayo huna weledi wa kuifanya? Kuwa makini wewe mgeni uwe na kifua huku watu wana kejeli dharau na maneno machafu so vumilia tu ila nadhani baada ya wiki utarudi kwa waajiri wako na kuwaambia huwezi kazi.
Kwa wahindi nitafanya kazi gani mkuu?Kazi unayo mkuu? Nani kakwambia ukiwa kazini huwezi kuchangia humu? Ina maana hamna break ya tea lunch je? Na wakati wa kwenda na kurudi nyumbani mkuu kwenye gari na lifoleni lote hili unakuwa unafanya nini? Wewe utakuwa unafanya kazi kwa wahindi wewe!
Kwa Mara ya kwanza nakusapoti japo unaniponda kila MaraKazi unayo mkuu? Nani kakwambia ukiwa kazini huwezi kuchangia humu? Ina maana hamna break ya tea lunch je? Na wakati wa kwenda na kurudi nyumbani mkuu kwenye gari na lifoleni lote hili unakuwa unafanya nini? Wewe utakuwa unafanya kazi kwa wahindi wewe!
Yaan unakwepa Kodi alafu unamshabikia waziri mkuu mstaafuMaelezo mareeeeefu kumbe Ulikuwa umemlenga lowassa, haya kunywa soda upumzike