Nadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .Habari za majukumu wadau,
Mungu ni mwema siku zote kwa kutupa afya njema na uzima na kuendelea na mapambano ya kitafuta mkate pamoja na kujenga nchi.
One in a millionNadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .
Maajabu baada ya binti kupotezana na jamaa miaka kadhaa (nadhani advance na chuo) akarudi akiwa ameshapata kazi tena nzuri inayolipa pesa ndefu tu, aliporudi akamuomba jamaa amuoe yaani kama maigizo hivi jamaa haamini maana hata pesa ya mahari hana binti akagharamia kila kiti wakafunga ndoa japo familia yake haikukubaliana na hali.
Maajabu mengine jamaa anakuambia usiku wa ndoa alikuwa binti bado ana usichana wake ,Mungu aliwabariki mtoto mmoja wa kike ila jamaa hakuishi sanaa akafa na mpaka hivi sasa ninavyoongea binti hajaolewa kabisa though anachumbiwa sanaa ila hataki hata kusikia habari ya mwanaume.
Hili la kuomba pesa Kila mara na lenyewe ni la asili??Habari za majukumu wadau,
Mungu ni mwema siku zote kwa kutupa afya njema na uzima na kuendelea na mapambano ya kitafuta mkate pamoja na kujenga nchi.
Niende kwenye mada ambayo ni mambo ambayo ni asili ya mwanamke toka enzi za mababu wanaume hawawezi kufanya kama wanawake wanavyoyakabili mambo kwani hata mungu, alisema tuishi nao kwa akili maana kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ki asili na kimazingira.
Sasa yafuatayoa ni mambo ambayo wanayafanya wanawake kwa asilimia kubwa wanapokuwa kwenye ndoa au hata uchumba:–
Siku ya kuvunja VICOBAongezea hapo mkuu ukimkuta mwanamke mwenye vijisenti au ka cheo basi mliopo karibu nae mtajibeba sio kwa nyodo hizo
Yaani mkuu hyo hutokea kwa mwanamke mmoja kati ya au zaidi ila wanawake asilimia kubwa wapo hvyo.Nadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .
Maajabu baada ya binti kupotezana na jamaa miaka kadhaa (nadhani advance na chuo) akarudi akiwa ameshapata kazi tena nzuri inayolipa pesa ndefu tu, aliporudi akamuomba jamaa amuoe yaani kama maigizo hivi jamaa haamini maana hata pesa ya mahari hana binti akagharamia kila kiti wakafunga ndoa japo familia yake haikukubaliana na hali.
Maajabu mengine jamaa anakuambia usiku wa ndoa alikuwa binti bado ana usichana wake ,Mungu aliwabariki mtoto mmoja wa kike ila jamaa hakuishi sanaa akafa na mpaka hivi sasa ninavyoongea binti hajaolewa kabisa though anachumbiwa sanaa ila hataki hata kusikia habari ya mwanaume.
Yap ndiyo maana nikasema sio wote mkuu wapo wenye tabia hizo ila wengi wao pia hawana kabisa tabia hizo , ni tabia tu ya mtu binafsiOne in a million
Huyo mke alimtoa kafara,think out of the box hakukuwa na upendo wa kweli bali kutimiza ibada yake ya kishetaniNadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .
Maajabu baada ya binti kupotezana na jamaa miaka kadhaa (nadhani advance na chuo) akarudi akiwa ameshapata kazi tena nzuri inayolipa pesa ndefu tu, aliporudi akamuomba jamaa amuoe yaani kama maigizo hivi jamaa haamini maana hata pesa ya mahari hana binti akagharamia kila kiti wakafunga ndoa japo familia yake haikukubaliana na hali.
Maajabu mengine jamaa anakuambia usiku wa ndoa alikuwa binti bado ana usichana wake ,Mungu aliwabariki mtoto mmoja wa kike ila jamaa hakuishi sanaa akafa na mpaka hivi sasa ninavyoongea binti hajaolewa kabisa though anachumbiwa sanaa ila hataki hata kusikia habari ya mwanaume.
Hapo mama yako mzazi, bibi zako, shangazi zako na dada zako. Wote kundi moja na bora mama yako angekubana ukafia njiani kuliko kuzaliwa naye ukaona huo ubaya unaoshuhudia sasa. Pole sana.Habari za majukumu wadau,
Mungu ni mwema siku zote kwa kutupa afya njema na uzima na kuendelea na mapambano ya kitafuta mkate pamoja na kujenga nchi.
Niende kwenye mada ambayo ni mambo ambayo ni asili ya mwanamke toka enzi za mababu wanaume hawawezi kufanya kama wanawake wanavyoyakabili mambo kwani hata mungu, alisema tuishi nao kwa akili maana kuna tofauti kubwa sana kati ya mwanamke na mwanaume ki asili na kimazingira.
Sasa yafuatayoa ni mambo ambayo wanayafanya wanawake kwa asilimia kubwa wanapokuwa kwenye ndoa au hata uchumba:–
1. Mwanamke unaweza ukamuoa akiwa na watoto ukawapenda na kuwasomesha mpaka ngazi za juu ila wanaume akiwa na mtoto hata mmoja tu atamchukia na kumsingizia kila baya ili amchukie.
2.Mwanamke anaweza akamleta ndugu yake mahali mnapoishi kimatibabu au kimatembezi ukampenda na kumuhudumia ila wakija ndugu wa mume kwake anaanza visa na chuki dhidi yao.
3.Mwanamke anaweza akakaa na mama yake mzazi mahali alipo olewa miaka nenda miaka rudi ila akija mama wa mume hyo ni vita ya Ukraine na Russia itatokea hapo.
4.Mwanaume anaweza akasoma mpaka akawa na cheo kikubwa iwe serikalini au kwenye jamii ila akaoa darasa la saba na wakaishi vizuri tu ila mwanamke akisoma ni mara chache sana atakubali kuolewa na mtu aliyemzidi elimu na akiishi nae basi atamtesa.
5. Mwanaume anaweza akamuuguza mke wake kipindi anaumwa mpaka akapona au kufikwa na umauti ila mwanamke ni mara chache sana kumvumilia mweza wake akipata maradhi ya mda mrefu au akishuka kiuchumi.
Yapo mengi ndugu zangu ila hyo ni mifano tu unaweza ukaongeza ya kwako ila kiufupi wanawake hawana uvumilivu kuwashinda wanaume.
ENYI WANAUME ISHINI NA WAKE ZENU KWA AKILI mwisho wa kunukuu.
Mkuu hili ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kuchangia anavyoona inafaa sasa hapo mambo ya wazazi yameingiaje tena jikite kwenye mada kuliko huo upuuzi uliondika kwani ukisema wanawake wengi ni malaya na mama yako mzazi unamjumuisha kwenye hilo.Hapo mama yako mzazi, bibi zako, shangazi zako na dada zako. Wote kundi moja na bora mama yako angekubana ukafia njiani kuliko kuzaliwa naye ukaona huo ubaya unaoshuhudia sasa. Pole sana.
Ukishataja mwanamke unamaana kila mwanamke akiwemo mama yako mzazi. Wote ni KE sababu hao wanaotenda wayaendao nao ni ke kama mama yako unless mama yako alizaliwa kama Bikra Maria mkingiwa Dhambi. Penda usipende kama ulivyosema ni jukwa huru, umetoa mawazo yako nami nimetoa yangu.Mkuu hili ni jukwaa huru kila mtu ana haki ya kuchangia anavyoona inafaa sasa hapo mambo ya wazazi yameingiaje tena jikite kwenye mada kuliko huo upuuzi uliondika kwani ukisema wanawake wengi ni malaya na mama yako mzazi unamjumuisha kwenye hilo.
Nadhani ni tabia ya mtu tu wala si kwamba wanawake wote wana hizo tabia binafsi nimeshashuhudia kwa macho yangu kabisa jamaa yangu mmoja hakufanikiwa kusoma ila kuna msichana walipendana enzi hizo mbali ya msichana kwao kuwa na uwezo mkubwa wa mali ila jamaa akawa anajitahidi vi daftari na pesa ndogo ndogo ila matumaini ya kuja kuishi naye akawa hana sanaaa .