Ni application gani nzuri kwa ajili ya video editing?

Ni application gani nzuri kwa ajili ya video editing?

Spliffcharm

Senior Member
Joined
Jun 21, 2020
Posts
154
Reaction score
419
Wakuu wa JF kwema?

Naomba kujua ni App gani ya simu au PC nzuri kwa kufanya video editing au hata Image editing kwa ajili ya kutangazia biashara online.

Nitashukuru sana nikipata msaada juu ya hili ndugu zangu.

Regards,
Powers.
 
Kwa video editing tumia 'youcut' au video 'maker' hizo zipo vizuri sana na ni simple kutumia

Mm ndio huwa natumia

Na kwa picha tumia photoroom- hii mm huwa natumia kutengenezea thumbnail
Kwa ww kweny matangazo ndio penyewe.
 
VIDEO EDITING
CapCut, KineMaster, Power Director - MOBILE
Davinci Resolve, Premiere Pro, Final Cut - PC

PHOTO EDITING

Lightroom, Snapseed, Picsart - MOBILE
Photoshop, Lightroom, Prisma AI - PC
 
Kama walivosema wadau hapo juu, kwa simu Capcut hana mpinzani kwa sasa katika video editing.
Kwenye PC pia kama wewe sio Pro video editor tumia hiyo hiyo Capcut, ina basic features zote.
Picha kwa PC ni Phtotoshop tu.
 
Back
Top Bottom