Hiyo keynote ni nzuri sana, ina layouts na features zingine nyingi na ni simple kuitumia,,nadhani watakuwa wameshatoa version mpya iliyo stable zaidi,,ukilinganisha na hizo zingine, it has to be the best of them ol kwa sasa, no need to carry a laptop kwa swala la presentation tu!