sio waziri bali alikuwa Gavana...hayo mengine sijui!!Nasikia eti Mtei yule miliki wa Chadema alikuwa waziri wa fedha. Na jamaa mmoja alifariki mwaka juzi alikuwa mwanachadema alikuwa agombea kila wakati ubunge kupitia chadema jimbo la shinyanga mjini yeye alikuwa gavana.
Mtei alitoka kwenye uwaziri wa fedha mwaka 1979 na BOT imekuja kuungua 1984. Atakuwa alihusikaje mkuu?sio waziri bali alikuwa Gavana...hayo mengine sijui!!
Hahahaha,duhhhNasikia eti Mtei yule miliki wa Chadema alikuwa waziri wa fedha. Na jamaa mmoja alifariki mwaka juzi alikuwa mwanachadema alikuwa agombea kila wakati ubunge kupitia chadema jimbo la shinyanga mjini yeye alikuwa gavana.
sio waziri bali alikuwa Gavana...hayo mengine sijui!!
Mkuu umeandika nusu ukweli na nusu siyo kweli. Kumbukumbu sahihi ni kwamba BOT iliungua moto mwaka 1984. Wakati inaungua waziri wa fedha alikuwa ni Kighoma Malima ambaye alikuwa katika nafasi hiyo kuanzia mwaka 1983 hadi 1985 na wakati huo gavana alikuwa ni Charles Nyirabu aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka 15 kuanzia 1974 hadi 1989. Nyirabu alipokea kijiti cha ugavana kutoka kwa Edwin Mtei mwaka 1974.Sio kweli, BOT ilipoungua gavana alikuwa marehemu Charles Nyirabu na waziri wa fedha alikuwa Edwin Mtei!! Boss alikuwepo enzi hizo .
Bob makani alikuwa ni mmoja wa waazilishi wa chadema.Mkuu umeandika nusu ukweli na nusu siyo kweli. Kumbukumbu sahihi ni kwamba BOT iliungua moto mwaka 1984. Wakati inaungua waziri wa fedha alikuwa ni Kighoma Malima ambaye alikuwa katika nafasi hiyo kuanzia mwaka 1983 hadi 1985 na wakati huo gavana alikuwa ni Charles Nyirabu aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka 15 kuanzia 1974 hadi 1989. Nyirabu alipokea kijiti cha ugavana kutoka kwa Edwin Mtei mwaka 1974.
Pia baada ya Kighoma Malima kutoka katika nafasi hiyo ya uwaziri wa fedha mwaka 1985 alirudi tena kwa mara ya pili kwenye nafasi hiyo mwaka 1994 ambako alihudumu kwa miezi kadhaa tu ndani ya mwaka huo huo na baadae kufariki 1995.
Kwa hiyo kwa upande wa Mtei alikuwa gavana kuanzia 1966 hadi 1974 na pia waziri wa fedha kuanzia 1977 hadi 1979 alipohitilafiana na Mwalimu Nyerere kuhusu kukubali au kutokubaliana na utekelezaji wa masharti ya IMF.
Bob Makani alikuwa ni naibu gavana kuanzia 1974 hadi 1986 hii ikimaanisha kwamba wakati BOT inaungua Mtei hakuwa gavana pale BOT wala waziri wa fedha isipokuwa Nyirabu na Bob Makani ndiyo walikuwa ofisi moja yaani Nyirabu akiwa gavana na Makani akiwa ni naibu wake na Kighoma Malima akiwa ni waziri.
Mkuu umeandika nusu ukweli na nusu siyo kweli. Kumbukumbu sahihi ni kwamba BOT iliungua moto mwaka 1984. Wakati inaungua waziri wa fedha alikuwa ni Kighoma Malima ambaye alikuwa katika nafasi hiyo kuanzia mwaka 1983 hadi 1985 na wakati huo gavana alikuwa ni Charles Nyirabu aliyedumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka 15 kuanzia 1974 hadi 1989. Nyirabu alipokea kijiti cha ugavana kutoka kwa Edwin Mtei mwaka 1974.
Pia baada ya Kighoma Malima kutoka katika nafasi hiyo ya uwaziri wa fedha mwaka 1985 alirudi tena kwa mara ya pili kwenye nafasi hiyo mwaka 1994 ambako alihudumu kwa miezi kadhaa tu ndani ya mwaka huo huo na baadae kufariki 1995.
Kwa hiyo kwa upande wa Mtei alikuwa gavana kuanzia 1966 hadi 1974 na pia waziri wa fedha kuanzia 1977 hadi 1979 alipohitilafiana na Mwalimu Nyerere kuhusu kukubali au kutokubaliana na utekelezaji wa masharti ya IMF.
Bob Makani alikuwa ni naibu gavana kuanzia 1974 hadi 1986 hii ikimaanisha kwamba wakati BOT inaungua Mtei hakuwa gavana pale BOT wala waziri wa fedha isipokuwa Nyirabu na Bob Makani ndiyo walikuwa ofisi moja yaani Nyirabu akiwa gavana na Makani akiwa ni naibu wake na Kighoma Malima akiwa ni waziri.
Sasa mkuu haujisikii aibu kudai tuweke siasa pembeni wakati katika post yangu sijaandika chochote kuhusu siasa na badala yake wewe ndiye umekuja na habari za Chadema?Bob makani alikuwa ni mmoja wa waazilishi wa chadema.
Pia umekosea kidogo tu.
Kigoma Malima aliingia 1985.
Naomba tusiwapotoshe watu. Tuweke siasa pembeni.
Sasa hapo ndio unataka kupotosha jamii kwa makusudi.Sasa mkuu haujisikii aibu kudai tuweke siasa pembeni wakati katika post yangu sijaandika chochote kuhusu siasa na badala yake wewe ndiye umekuja na habari za Chadema?
Kighoma hakuingia wizara ya fedha 1985. Aliingia 1983 na kuondoka 1985 huku nafasi yake ikichukuliwa na Cleopa Msuya 1986 ambaye alidumu pale hadi 1989. Kighoma aliporudi kwenye uwaziri huo 1994 na kuondoka mwaka huo huo ndipo Jakaya Kikwete akachukua kijiti chake kwa mwaka mmoja hadi mwaka 1995 alipomwachia Simon Mbilinyi.
Badala ya kuleta ubishi usio wa lazima ni vizuri tukatumia hata hivi vi smartphones vyetu vilivyosalimika kwenye tsunami ya TCRA kupata facts mbalimbali.
1. Waziri aliyedumu muda mrefu ni Ameir Jamal.Sasa hapo ndio unataka kupotosha jamii kwa makusudi.
Hebu nakuomba uniambie. Ni waziri yupi aliyedumu kwada mrefu? Hivi unajua luhusu Waziri wa fedha Jamal?
Ukishamjua niambia huyo waziri Malima alianza lini uwazir!!!?
Kighoma Malima alianza 1985. Nakumba usiwapotoshe watu kuna watu hawajui hayo.