Ni ajira kiasi gani zimepotea baada ya zuio la viroba

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
583
kama ilivyo ada ..... Leo ni siku ya sehemu ya utekelezaji wa agizo la waziri mkuu Kassim Majaliwa la marufuku ya kutumia na kusambaza viroba nchini , na zoezi hilo kwa sasa linafanywa kwa weledi mkubwa na ofisi ya makamu wa Rais inashughulikia Mazingira chini ya waziri kijana January Makamba.
Sasa tungependa kufahamu mpaka sasa zoezi hili limeweza kuongeza ama kupunguza ajira kiasi gani ?
 
Viroba havijazuiwa ila kilichopingwa ni Packaging ile ndogo ya nylon - So wanachokifanya ni kubadili tu packaging na ndio maana mpaka leo MIZINGA na MIJIBAPA inauzwa na itaendelea kuuzwa kama kawaida
 
Back
Top Bottom