Ni Ajabu Na Kweli

Ni Ajabu Na Kweli

Augustine Moshi

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2006
Posts
2,556
Reaction score
1,394
Trafic%20station.jpg



OPEN FOR BUSINESS: This traffic police office at the Buguruni Police Station compound in Dar es Salaam looks overwhelmed as accident exhibits keep piling up at its doorstep, making operations difficult. Our roving photographer captured the scene earlier this week.

Source ippmedia.com

We have hit bottom! Tutaabika mpaka lini? Tusipobadilisha watawala mwaka huu itakuwaje? Hapa ni Dar ambapo wana CCM husema ni kitovu cha nchi!
 
(1)Traffic Officer anayefanya kazi kwenye hicho kibanda anaweza kweli kutaka kuirudisha CCM madarakani?

(2) Mtu anayekwenda kukomboa baisikeli yake au pikipiki yake kwenye hilo lundo huipataje?

(3) Wageni wanapoona ofisi za polisi ndio kama hizi, na viongozi wanatembelea lukuki ya ma VX, wanatuona tuna akili timamu kweli?
 
Ndo viongozi wetu wametufikisha hapo jamani. Tuendelee kuichagua Ccmmmh na maisha bora tutayasikia redioni tu.
 
Ndo viongozi wetu wametufikisha hapo jamani. Tuendelee kuichagua Ccmmmh na maisha bora tutayasikia redioni tu.


Mkuu umesahau TV wenye nazo watayaonea humo humo na cc tunaowza kwenda internet cafe ndo hvo tena kwa ma site...
 
Hii nchi yetu inapaswa kutawaliwa tena na wakoloni angalau kwa miaka miwili ndo mambo yaende sawa. Kadiri muda unavoenda hali inadhihirisha tumeshindwa kujitawala. Au tuibinafsishe serikali ya CCM kwa Paul Kagame kwa angalau miaka mitano. Otherwise we are completely done!
 
(3) Wageni wanapoona ofisi za polisi ndio kama hizi, na viongozi wanatembelea lukuki ya ma VX, wanatuona tuna akili timamu kweli?

kweli ccm ina akili kweli?
 
Mimi nacheka kila nikiitazama hiyo picha. Naona ina waya wa umeme unaingia ndani. Sio kosa kuweka umeme kwenye kitu kama hicho?

Hiyo "filing system" ya evidence inachekesha. Na bila shaka humo ndani wanaandika kwenye vipande vya mifuko ya sementi!

Traffic Officer anayevaa nguo zake nyeupe na safi anakubali kweli kwenda "ofisini' wakati ofisi yenyewe ndiyo hiyo?

Bajeti ya Polisi inaishia wapi? Mbona tumekuwa kama a failed state? Jamani, tuchague CHADEMA tuondokane na hizi aibu.
 
Back
Top Bottom