Nahitaj cm bora yenye gharama (bei) ya kawaida yaani kati ya 100000 na 150000/=. Je ni aina gani ya cm wadau inafaa zaidi?
Sorry, naomba kujua eti, ni namna gani unaweza kununua bidhaa JUMIA, je kuna matumizi ya tembo MasterCard kama kwingine au inakuaje? Natakunguliza shukraniIngia JUMIA leo kabla ya saa 6 usiku uweke oda yako ya hii simu huawei y625 yenye punguzo ya 52%
View attachment 311262