FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
kama unaweza kuwa na cash ya kutosha ..siyo ya mboga chukua SAMSUNG APPLE.
Kwa majina tu yote wanazalisha laptop nzuri, kama unataka laptop ya kazi heavy duty basi unatakiwa uangalie iwe na powerful processor and plenty of memory. Hapa sasa unazungumzia bajeti yako....
Kwa ufupi angalia haya:
*Processor iwe si chini ya 2 GHz au zaidi
*memory at least 2GB au zaidi ni bora
*Usb 2.0 or 3.0 (new vers) ports, HDMI port, Firewire port
*Card reader (multi)
*DVD Rewriter/BlueRay?
*wireless b/g/N
*Graphic card at least 512 MB
*Hard drive (itategemea unahifadhi kiasi gani) 100 meg sio mbaya/ si muhimu sana kua na HD kubwa kwani unaweza kusave kazi zako kwenye CD/DVD it's more safer
*Screen size at least 15"
*Battery: how long they last especially ikiwa unafanya kazi zako outdoor
*Weight ya laptop if this matters to you, mengine ni mizigo
*looks sometimes not always ?
*Operating system ie windows 7(32bit or 64bit) I suggest 64bit
Dah! kwli mambo yamekuwamengi sku hz, hii sijaiskia kabisa! hebu nipe somo kidogo: hii inatengenezwa wapi?....HONGKONG?kama unaweza kuwa na cash ya kutosha ..siyo ya mboga chukua SAMSUNG APPLE.
Quality and Quantity?..dah umenitoa! Na unapoongelea kuhimili mikiki yote una maana gani, unafanya kazi za graphics sana, unafanya kazi za migodini "unataga rugged?"Namaanisha Quality and Quantity amabayo inahimili mikiki yote ?
Kwa sasa naona kuna aina kibao
nikianza na :-
Dell
Toshiba
HP
Acer
Beng
na nyingine nyingi!
Mkuu, hivi 100meg ndy 100mb? au macho yangu hayaoni vzr!!!!
Kumradhi mkuu, 100 Gigs (GB) uzee tuseme au uchovu unasumbua?
HInx6 said:angalia specs na battery life ndo cha muhim...ila kama una uwezo nunu Macbook Pro Air...if u r nt comfortable with OS X u cn install Win 7.
Habari,
Swali lako limekuwa hasa kama unataka brand gani ya laptop ambayo ni nzuri.
1.Kama ni kwa ajili ya ofisini chukua Toshiba,
2.kama kwa ajili ya multimedia chukua HP,
3.Kama unaitaji kwa ajili ya perfomance chukua Dell
4.Kama ni kwa ajili ya pure game chukua Alienware
5.Kama ni kwa ajili ya udogo chukua sony Vaio with solid state hard disk SSD
6.Kama hutaki Windows chukua apple
Hayo ndio maoni yangu.