Wengi wanatumia canon 7d
Ndio wengi wanatumia lakini bado kwa video kiwango kipo chini sana sana angalau kwa picha mgando,hapa ni Canon 5D II au Canon 5DIII ,zingine zaidi ya hapo huenda uwe na biashara kubwa au uwe na uwezo sana,sababu hizi nilizozitaja bei ni kama kati ya USD 3400 hadi 4000USD nani body tu bila kit lens .
Asante mkuu...