Ni aibu kwa Tanzania kushindwa kujenga Expressway ya Njia 4 Dar-Tunduma/Mwanza Wakati Nchi ndogo kama Burkina Faso Inajenga njia 8

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,978
Leo hii Kuna foleni kubwa inayokera na kuchelewesha biashara kati ya Dar-Tunduma na Dar-Dom-Mwanza/Rwanda lakini Bado Serikali inajibuta vita Haina plan Wala timeframe ya kujenga hiyo Barabara.

Nakumbuka Mzee Kinana Aliwahi sema Barabara hizo zinafaa Kujengwa Kwa njia 8 yaani 4 Kila upande.Soma zaidi Kinana: Wakati umefika sasa Serikali kujenga Barabara ya Dar es Salaam - Tunduma kuwa njia 8 | JamiiForums Kinana: Wakati umefika sasa Serikali kujenga Barabara ya Dar es Salaam - Tunduma kuwa njia 8

Cha kushangaza Nchi ndogo ya Burkina Faso imeamua kuchukua maamuzi magumu ya kujenga Barabara ya njia 8 inayounganisha Mimi yake mikuu ya biashara na Uchumi Kwa fedha za ndani.

Kinachotofautisha Tanzania na Burkina Faso ni uthubutu.Sijui ugumu unatoka wapi wakati tayari tulishaona uthubutu wa hayati Magufuli kwenye bwawa na sgr,nyie WA saizi mnafeli wapi? Ouaga-Bobo Corridor: A 200 Billion FCFA Self-Funded 8-Lane Highway to Redefine Burkinabè Hinterland Flows – www.logistafrica.com Ouaga-Bobo Corridor: A 200 Billion FCFA Self-Funded 8-Lane Highway to Redefine Burkinabè Hinterland Flows – www.logistafrica.com

Sio tuu kwamba ni aibu lakini ni fedheha Hadi Leo hii eti tuna Mikoa takribani 15 haijaunganishwa kwa Barabara za Bararabara za lami.

My Take
Narudia tena kama hofu yenu ni pesa undeni Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo pesa ya Madini iende kufadhili ujenzi wake.

Kiufupi Barabara zote Kuu zinatakiwa kuwa njia 4,6 au 8 kutegemea na aina ya Barabara ila sio hizi za njia 1 tunazojenga Kwa kusuasua.
Screenshot_20260129-181215.jpg
Screenshot_20260129-180721.jpg
 
Utofauti uliopo ni kwamba Burkina Faso Wana kiongozi Bora ....................
Kuweka kipaombele na kufanya maamuzi Kuna Hitaji ubora gani? Mbona Nchi nyingi za Africa zimejenga hizo Barabara?
 
"Mwacheni mama amalizie kipindi chake acheni wivu"

Hizi ndiyo kauli zenu maarufu nyie machawa na makunguni wa mama.

Sisi tunapiga kelele kuhusu hii serikali kwa sababu hakuna kitu cha maana inafanya zaidi ya ubadhilifu na ufisadi.

Mnachojua ni kutuchamba, kututeka na kutumia,ila kufanya Miradi ya maana aaah!!
 
Acha ujinga jadili hoja
 
kwa sasa nguvu kubwa iko kwenye reli ya kisasa na anga ndio dunia inaamia huko hii inachagiza na dira ya taifa pia ndugu
 
Hoja ya kujadili hapo iko wapi,chawa?

Maana hapa wewe mwenyewe umeleta malalamiko na siyo hoja.

Kuanzia heading hadi riwaya yote imejaa malalamiko.

Hutaki tumseme Bi msumi wakati wewe mwenyewe umemsimanga indirect.
Kama huoni hoja jiite wewe ni mjinga
 
kwa sasa nguvu kubwa iko kwenye reli ya kisasa na anga ndio dunia inaamia huko hii inachagiza na dira ya taifa pia ndugu
Tumia akili na wewe,Mikoa 15 haijaunganishwa na Barabara hata hizi za kawaida wewe unaleta stori za anga na sgr?

Mojawapo ya shida kubwa ya Nchi hii ni kukurupuka na kukosa vipaombele hkiachilia mbali uthubutu
 
kwani sgr ikija shida iko wapi ndugu
Unajua gharama za kujenga sgr na economic impact yake?

Harafu reli hazijengwi Kwa Ajili ya kupigia picha kama mnavyofanya hapa Tanzania.

Kila km 1 ya lami ikikamilika inaanza Kuzalisha mda huo huo ila reli hata yote ukamilike haileti pesa Hadi sijui mabegewa sijui umeme,a lot of complexity haifai Kwa Nchi inayojitafuta kama yetu.

Wenye akili wote hawakuanza na reli
 
Leo hii Kuna foleni kubwa inayokera na kuchelewesha biashara kati ya Dar-Tunduma na Dar-Dom-Mwanza/Rwanda lakini Bado Serikali inajibuta vita Haina plan Wala timeframe ya kujenga hiyo Barabara.

Nakumbuka Mzee Kinana Aliwahi sema Barabara hizo zinafaa Kujengwa Kwa njia 8 yaani 4 Kila upande.Soma zaidi Kinana: Wakati umefika sasa Serikali kujenga Barabara ya Dar es Salaam - Tunduma kuwa njia 8 | JamiiForums Kinana: Wakati umefika sasa Serikali kujenga Barabara ya Dar es Salaam - Tunduma kuwa njia 8

Cha kushangaza Nchi ndogo ya Burkina Faso imeamua kuchukua maamuzi magumu ya kujenga Barabara ya njia 8 inayounganisha Mimi yake mikuu ya biashara na Uchumi Kwa fedha za ndani.

Kinachotofautisha Tanzania na Burkina Faso ni uthubutu.Sijui ugumu unatoka wapi wakati tayari tulishaona uthubutu wa hayati Magufuli kwenye bwawa na sgr,nyie WA saizi mnafeli wapi? Ouaga-Bobo Corridor: A 200 Billion FCFA Self-Funded 8-Lane Highway to Redefine Burkinabè Hinterland Flows – www.logistafrica.com Ouaga-Bobo Corridor: A 200 Billion FCFA Self-Funded 8-Lane Highway to Redefine Burkinabè Hinterland Flows – www.logistafrica.com

Sio tuu kwamba ni aibu lakini ni fedheha Hadi Leo hii eti tuna Mikoa takribani 15 haijaunganishwa kwa Barabara za Bararabara za lami.

My Take
Narudia tena kama hofu yenu ni pesa undeni Mfuko maalumu wa Miundombinu ambapo pesa ya Madini iende kufadhili ujenzi wake.

Kiufupi Barabara zote Kuu zinatakiwa kuwa njia 4,6 au 8 kutegemea na aina ya Barabara ila sio hizi za njia 1 tunazojenga Kwa kusuasua.
View attachment 3536162View attachment 3536163
Akili kisoda wewe! Mizigo inasafirishwa na SGR si magari
 
Unajua gharama za kujenga sgr na economic impact yake?

Harafu reli hazijengwi Kwa Ajili ya kupigia picha kama mnavyofanya hapa Tanzania.

Kila km 1 ya lami ikikamilika inaanza Kuzalisha mda huo huo ila reli hata yote ukamilike haileti pesa Hadi sijui mabegewa sijui umeme,a lot of complexity haifai Kwa Nchi inayojitafuta kama yetu.

Wenye akili wote hawakuanza na reli
shida watanzania hampendi vitu vizuri
 
Unajua watu wanaongea Sana

Hizo njian8 zikijengwa mtaandamama,

Unajua bei ya njia8 highway?

Most ya miji yetu NI 20km radius, na njia 4/6 zinatosha saana. Ila if it's me, njia 4 za ring roads zingeboresha zaidi mini badala ya njia 8.

Kwa kifupi, athari na Bagamoyo road ni kubwa Sana kwa wanaonda nje ya mkoa,

Instead ya kuendelea kuipanua morogoro road, ingejengwa road nyingine kushare mzigo wa morogoro road then njia nyingi za kuziunganisha hizo barabara. Hapo itakuwa na manufaa kuliko njia10/12 za morogoro road
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom