Ni aibu kwa Taifa kuwa na upinzani kama UKAWA

Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
36,982
45,900
hawa ni watu ambao eti wanatarajia kua mbadala wa ccm.

ni aina ya watu ambao.

1. wanaongozwa kwa hisia katika maamuzi yao.

2. kwa asilimia kubwa hawafahamu sheria na taratibu za nchi.

3. wanaishi kwa kueneza habari zisizo na usahihi wowote.

4. wanategemea matukio zaidi kufanya siasa kuliko mahitaji ya wananchi.

Ni aibu kubwa sana kama Taifa kua na watu kama hao ambao ndio tegemeo la kuunda serikali.
 
1. Walipaswa kutumia nini badala ya hisia?

2. Asilimia kubwa maana yake ni 51% au 99%

3. Habari zilizo na usahihi ni zipi kwa mfano

4. Badala ya matukio walipaswa wategemee nini ili wastahili kufaa kuongoza?

Aibu unayozungumzia hapa ni ipi hasa?? Hebu washauri mbinu mbadala ili wajitoe kwenye hii aibu.
 
Naomba kujua kiwango chako cha elimu kabla sija-comment kwenyebpost yako. Isijeikawa una stroke kwenye ubongo

Imetosha kukufahamu, sina haja ya kuuliza. Msomi huwa haulizi kiwango cha elimu cha mtu. Anamjua moja kwa moja, kama hivi.

Endelea kusoma bwana mdogo. Elimu haina mwisho!
 
1. Walipaswa kutumia nini badala ya hisia?

2. Asilimia kubwa maana yake ni 51% au 99%

3. Habari zilizo na usahihi ni zipi kwa mfano

4. Badala ya matukio walipaswa wategemee nini ili wastahili kufaa kuongoza?

Aibu unayozungumzia hapa ni ipi hasa?? Hebu washauri mbinu mbadala ili wajitoe kwenye hii aibu.
Umejibu nini !!

kwamba hufahamu nini maana ya upinzani
 
Ukitaka kuona kinyeo cha kuku, subiri upepo upite. Upepo umeshapita nimeshauona utupu wako.
.......hauna hoja siwez kubbishana na mtu kama wewe unanipotezea muda ungekuwa hata unajua maana ya siasa .....lakin haujui you are a layman ambaye hapend kuelimishwa
 
hawa ni watu ambao eti wanatarajia kua mbadala wa ccm.

ni aina ya watu ambao.

1. wanaongozwa kwa hisia katika maamuzi yao.

2. kwa asilimia kubwa hawafahamu sheria na taratibu za nchi.

3. wanaishi kwa kueneza habari zisizo na usahihi wowote.

4. wanategemea matukio zaidi kufanya siasa kuliko mahitaji ya wananchi.

Ni aibu kubwa sana kama Taifa kua na watu kama hao ambao ndio tegemeo la kuunda serikali.
Lazima uchomekee koti mwaka huu
 
Ama kweli wananchi wamekosa mbadala kabisa, kwa hizi akili ndogo wanazo zionesha kwa kudhofisha harakati zamaendeleo na wakati hawana mawazo mbadala ni janga kubwa sana
 
Unaona ulivo na tabia kama za kenge?? Aliyekuambia mimi ukawa ni nani??

We hoja yako ni mavi tu. Hivi unajua kupimwa tezi dume kuna uhusiano na kushikwa mavi??

Fanya hima kapimwe.... haitakuondolea sifa za kuwa kiongozi.

Malabuku sana.
Mbona Siku hizi mnaona aibu kujulikana kuwa nyie no UKAWA? Kulikoni?
 
1. Walipaswa kutumia nini badala ya hisia?

2. Asilimia kubwa maana yake ni 51% au 99%

3. Habari zilizo na usahihi ni zipi kwa mfano

4. Badala ya matukio walipaswa wategemee nini ili wastahili kufaa kuongoza?

Aibu unayozungumzia hapa ni ipi hasa?? Hebu washauri mbinu mbadala ili wajitoe kwenye hii aibu.
Big up mkuu
 
hawa ni watu ambao eti wanatarajia kua mbadala wa ccm.

ni aina ya watu ambao.

1. wanaongozwa kwa hisia katika maamuzi yao.

2. kwa asilimia kubwa hawafahamu sheria na taratibu za nchi.

3. wanaishi kwa kueneza habari zisizo na usahihi wowote.

4. wanategemea matukio zaidi kufanya siasa kuliko mahitaji ya wananchi.

Ni aibu kubwa sana kama Taifa kua na watu kama hao ambao ndio tegemeo la kuunda serikali.
Yaan shida tupu kila siku zikienda mbele, mentalisim sio wale walio holdiwa kule mental hospital tuu kumbe hata mitaaan wako tele.

Ndugu yangu yaan kama sio hao ukawa kuiyumbisha ccm bac hayo maendeleo unayo yaon saivi na kuibuliwa kwa majipu basi usinge sema hayo unayo sema hapa.
Ukawa wamefanya vitu vikubwa zaidi ya unavyo dhani kwani ccm ilikuwa imelala kabisaaa, matokeo yake walizalisha wahujumi uchumi wengi kutoka ccm, kwa vile unataka tu kukisema kile kilichomo moyon mwako basi sawa.

Sijui kati ya ccm na ukawa wepi madhaifu kulingana na post yako, maana ccm imepunguziwa utawala o madaraka baadhi yamechukuliwa na hao ukawa na ukawa nao wameengeza uwakilishi wao kwenye nchi hii, so nani dhaifu?.

Nakushauri ujifunze kuwapenda watu hata kama unawachukia ilimradi wanafanya yamaaana kwa jamiii na kinaonekana wanacho kifanya.

Mfanya bishara bora maisha yote hujiongezea wateja nasio kupungukiwa.
 
Mbona Siku hizi mnaona aibu kujulikana kuwa nyie no UKAWA? Kulikoni?
Kuna sehemu yeyote au una ushahidi nilishawahi kuwa ukawa? Japo mi si mwanaukawa lakini nisingeona aibu yeyote ya kujiita mwanaukawa. Ukawau umeleta mapinduzi kwenye mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu. Bila ukawa labda hivi sasa rais wenu angekuwa Membe....

Baada ya kusema hayo nakushauri ukanoe ubongo wako wenye tabia ya kukurupuka kama ubongo wa mtetea.

Kuhoji jambo si lazima uwe mpinzani au ukawa. Grow up, kid!
 
hawa ni watu ambao eti wanatarajia kua mbadala wa ccm.

ni aina ya watu ambao.

1. wanaongozwa kwa hisia katika maamuzi yao.

2. kwa asilimia kubwa hawafahamu sheria na taratibu za nchi.

3. wanaishi kwa kueneza habari zisizo na usahihi wowote.

4. wanategemea matukio zaidi kufanya siasa kuliko mahitaji ya wananchi.

Ni aibu kubwa sana kama Taifa kua na watu kama hao ambao ndio tegemeo la kuunda serikali.
Ccm wanalalamika kuliko wapinzani,sipati picha siku wakiamua kutoa nchi kwa karatasi alfu ccm wakawa wapinzani?
 
Sio kosa lao, ubora wa mpinzani lazima uendane na huyo anayempinga.
Wangekuwa bora zaidi upande wa pili ungekuwa ndio upinzani.
Kwa kifupi ulichoelezea kinawahusu wanasiasa wengi bila kujali rangi ya nguo zinazowatambulisha.

Ni hasara zaidi kwa wale waliopo kwenye nafasi (madiwani, wajumbe,wenyeviti, wabunge) ya kubadilisha hali za maisha za wanachi kuwa hivi
 
hawa ni watu ambao eti wanatarajia kua mbadala wa ccm.

ni aina ya watu ambao.

1. wanaongozwa kwa hisia katika maamuzi yao.

2. kwa asilimia kubwa hawafahamu sheria na taratibu za nchi.

3. wanaishi kwa kueneza habari zisizo na usahihi wowote.

4. wanategemea matukio zaidi kufanya siasa kuliko mahitaji ya wananchi.

Ni aibu kubwa sana kama Taifa kua na watu kama hao ambao ndio tegemeo la kuunda serikali.
Nimeamin kumbe hapo Lumumba Wengi wao wanaelimu Za kuungaunga na division zero ni nyingi sana mtu mwenye Elimu yake hawez andika hivi . Elimu bure mkuu strock Rudi tu shule hakuna namna.
 
Back
Top Bottom