Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 1,738
- 2,610
Ahaaa ndo nilitaka kumuuliza kwa Nini yeye kaamua kuchagua mwaka kuanzia 2003 ha 2021 na si ya 2019 na 2023đź‘ŠKwani kuna kipimo kingine cha mafanikio zaidi ya CAF 5 years ranking?
Ahaaa ndo nilitaka kumuuliza kwa Nini yeye kaamua kuchagua mwaka kuanzia 2003 ha 2021 na si ya 2019 na 2023đź‘ŠKwani kuna kipimo kingine cha mafanikio zaidi ya CAF 5 years ranking?
Je caf wamesema wametumia vigezo vya mafanikio ya kuanzia 2003 Hadi 2021 kupata mabingwa wa Kanda?Sijaelewa swali lako. Kama unataka kuwalinganisha na ASEC, angalia mafanikio ya Enyimba kati ya 2003-2021 na yale ya ASEC.
Hata ukichukua ya miaka 5 tu kama rekodi zilizoko Wikipedia ziko sahihi bado Enyimba anamzidi ASEC kwa kuwa na muendelezo mzuri.Kwani kuna kipimo kingine cha mafanikio zaidi ya CAF 5 years ranking?
Enyimba ni wa 33 wakati Asec yupo nyuma ya Yanga akiwa nafasi ya 19. Enyimba kazidiwa hadi na Rivers united. Kama ulikuwa hujui poleHata ukichukua ya miaka 5 tu kama rekodi zilizoko Wikipedia ziko sahihi bado Enyimba anamzidi ASEC kwa kuwa na muendelezo mzuri.
Sawaa.Hapana sitaki kufanya hivo usinilishe maneno ndugu
Ahaaa ndugu acha utani Wikipedia usitumie basi kuanzia Leo mana ukiangalia kwa miaka 5 hii mtawalio asec yupo rank ya juu kumpita enyimbaHata ukichukua ya miaka 5 tu kama rekodi zilizoko Wikipedia ziko sahihi bado Enyimba anamzidi ASEC kwa kuwa na muendelezo mzuri.
Hata ukichukua ya miaka 5 tu kama rekodi zilizoko Wikipedia ziko sahihi bado Enyimba anamzidi ASEC kwa kuwa na muendelezo mzuri.
Caf nao ni binadamu wanaofanya maamuzi kuteleza kupo na mashindano machanga kadri tunavyoenda tutapata terms nzuri za kuendesha mashindanoSawaa.
Binafsi ningependa TFF wangekaa wakatutolea ufafanuzi kwenye haya mashindano. Sina issue na kuhusu timu zilizochaguliwa ila ningependa kujua zaidi masuala mengine.
SAYVILLE pamoja na mleta uzi aliyeshangaa watangazaji wa CLOUDS kutokujua taratibu za mashindano, waje watuambie kwanini Enyimba kapewa nafasi wakati kwenye rank kazidiwa na Rivers na Asec Mimosa.Caf nao ni binadamu wanaofanya maamuzi kuteleza kupo na mashindano machanga kadri tunavyoenda tutapata terms nzuri za kuendesha mashindano
Ahaaa ndugu acha utani Wikipedia usitumie basi kuanzia Leo mana ukiangalia kwa miaka 5 hii mtawalio asec yupo rank ya juu kumpita enyimba
SAYVILLE pamoja na mleta uzi aliyeshangaa watangazaji wa CLOUDS kutokujua taratibu za mashindano, waje watuambie kwanini Enyimba kapewa nafasi wakati kwenye rank kazidiwa na Rivers na Asec Mimosa.
Sijui nini msichoelewa. Nani aliwaambia AFL hii wameangalia ranking hizo mnazoziangalia nyie? Hiyo 5-year record haimbebi ASEC mbele ya Enyimba.Enyimba ni wa 33 wakati Asec yupo nyuma ya Yanga akiwa nafasi ya 19. Enyimba kazidiwa hadi na Rivers united. Kama ulikuwa hujui pole
Sijui nini msichoelewa. Nani aliwaambia AFL hii wameangalia ranking hizo mnazoziangalia nyie? Hiyo 5-year record haimbebi ASEC mbele ya Enyimba.
.
Wewe by nature ni mbishi tu leta Sasa ranking zako za 2018 Hadi 2023 zinazombeba enyimba weka kwenye jedwali kama tulivyoweka sisi . Na simba akuna aliyesema akustahili kuwa hapo acha kujificha kwenye kichaka Cha simba. AAA ety wazungumza robo na nusu za shirikisho wakati mtu wa fainali shirikisho point zake kwa msimu zinazidiwa na mtu wa robo champions league kwa msimu ata ukifanikiwa PATA hyo rank ya hyo miaka unayoforce wewe still mshindi atakuwa asec tafuta uone Mimi ninayo Hila tafuta ya kwako WikipediaSijui nini msichoelewa. Nani aliwaambia AFL hii wameangalia ranking hizo mnazoziangalia nyie? Hiyo 5-year record haimbebi ASEC mbele ya Enyimba.
Kati ya 2018-2023, ASEC msimu pekee aliofanya vizuri kwa kuvuka hata hatua ya makundi ni msimu wa 2022-2023 walipofika nusu fainali kwenye shirikisho.
Enyimba msimu wa 2018 walifika nusu fainali shirikisho, misimu ya 2020 na 2021 wamefika robo fainali shirikisho.
Hapo juu nimeongelea sana kuhusu rekodi zenye muendelezo mzuri yaani consistency kama kigezo ambacho naamini kimetumika kuchagua hizo timu hii ni kuhakikisha timu siyo one hit wonder wakaenda kudhalilisha mashindano.
Ndiyo maana huwa mnapobeza robo fainali za Simba, wanaojua mambo huwa wanawashangaa. Afadhali kila siku uwe unaishia robo fainali kuliko leo unafika nusu fainali halafu kwa miaka 10 hata robo hauioni.
Ingekuwa 5 years record haimbebi Asec, basi Enyimba ndiye angekuwa juu ya Asec.. Unasema hawangalii ranking haya niambie kipimo gani kingine cha mafanikio ya CAF ukiachana na ranking?
Nyie endeleeni kukaza mafuvu ila ndiyo nawapa elimu hivyo, amueni wenyewe mkae hivyo hivyo au muelimike.Wewe by nature ni mbishi tu leta Sasa ranking zako za 2018 Hadi 2023 zinazombeba enyimba weka kwenye jedwali kama tulivyoweka sisi . Na simba akuna aliyesema akustahili kuwa hapo acha kujificha kwenye kichaka Cha simba. AAA ety wazungumza robo na nusu za shirikisho wakati mtu wa fainali shirikisho point zake kwa msimu zinazidiwa na mtu wa robo champions league kwa msimu ata ukifanikiwa PATA hyo rank ya hyo miaka unayoforce wewe still mshindi atakuwa asec tafuta uone Mimi ninayo Hila tafuta ya kwako Wikipedia
Halafu cha ajabu hao makanjanja hawaulizi kwanini USM ambao ni mabingwa hawapo.Salam za Jumapili.
Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi).
Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita Mwalimu, hata sielewi kama huyu huko hata kama awe anafundisha dini atakuwa anaeleweka. Watangazaji nao wamebaki kushindwa hata kumsaidia kumpa ufafanuzi.
Shafii na Alex hiki kipindi naona mmeshindwa kukipa hadhi, mkifute kabisa. Watu wazembe kama hao mnawawekaje studio, hata hao mnaowaalika mnawapataje? Naona mnataka mtiki box tu posho ziliwe.
Hivi kweli haileweki ni vipi Simba, Enyimba, TP mazembe, Petro Atletico wapo katika mashindano? Mtu anahoji eti kwa nini Yanga hayupo kisa amecheza Fainali CCFC?
Tuwe makini katika kazi hasa hizi zinazopeleka taarifa kwa umma.
Ki ukanda, zingatia hili.Kiukweli enyimba akustahili kuwepo timu zilizopaswa ziwepo ni hizi hapa Moja adi 8 kwenye hyo draft na kama Moja Hadi 8 kwenye hiyo draft kuna ambao wamejito kushiriki nafasi hilipaswa wapewe wanaowa fuatia yaani hata yanga anavigezo vikubwa vya kushiriki kumshinda enyimba yanga wa 17 enyimba wa 30 na si tumekubaliana tunaangalia top team around 5 years past enyimba kafikaje hapo unabisha nawe njoo na hoja zako tuzipime Tuone ukweli wake povu tu bila ushaidi nitakudunda makwenzi
Sasa si uangalie enyimba yupo ukanda gani na wenzie walio ukanda huo nani yupo juu acha kuongea vitu usivovijua ndugu fanya research kwanza kabla ujaamua kuandika kitu kwanzaKi ukanda, zingatia hili.
Kila ukanda wa kimpira lazima utoe timu.
Kwani Yanga na Raja au Berkane nani yupo juu?
Umewaona wakilia.
Elimu sisi ndo tunakupa wewe mbishi shauri yako Hila najua tu umeelewaNyie endeleeni kukaza mafuvu ila ndiyo nawapa elimu hivyo, amueni wenyewe mkae hivyo hivyo au muelimike.
Umeitaja yanga Kwenye Comment Uliyoitaja, nimekujibu kulingana na Comment uliyoandika, Yanga hastahili kuwepo humu.Sasa si uangalie enyimba yupo ukanda gani na wenzie walio ukanda huo nani yupo juu acha kuongea vitu usivovijua ndugu fanya research kwanza kabla ujaamua kuandika kitu kwanza
Haunibishii mimi unaibishia CAF na rekodi zake. Mmeng'ang'ania habari za miaka 5, nimewawekea mafanikio ya miaka 5 ya timu zote mbili, kama unabisha niwekee mafanikio tofauti na hayo niliyoweka.Elimu sisi ndo tunakupa wewe mbishi shauri yako Hila najua tu umeelewa
Sidhan kama nimeitaja yanga nduguUmeitaja yanga Kwenye Comment Uliyoitaja, nimekujibu kulingana na Comment uliyoandika, Yanga hastahili kuwepo humu.
Hivyo sahau kuhusu Yanga then tutajadiliana vizuri tu.
Vigezo vipo vingi si kimoja kama unavyoandika humu.
Iko wapi weka kwa chart hapa Tuone kwenye uho ukanda enyimba na wenzie nani yupo juu weka tumalize utata nduguHaunibishii mimi unaibishia CAF na rekodi zake. Mmeng'ang'ania habari za miaka 5, nimewawekea mafanikio ya miaka 5 ya timu zote mbili, kama unabisha niwekee mafanikio tofauti na hayo niliyoweka.