Ni aibu kwa Clouds TV kutokuelewa vigezo vya African Football League

Twin Tower

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
2,133
2,986
Salam za Jumapili.

Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi).

Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita Mwalimu, hata sielewi kama huyu huko hata kama awe anafundisha dini atakuwa anaeleweka. Watangazaji nao wamebaki kushindwa hata kumsaidia kumpa ufafanuzi.

Shafii na Alex hiki kipindi naona mmeshindwa kukipa hadhi, mkifute kabisa. Watu wazembe kama hao mnawawekaje studio, hata hao mnaowaalika mnawapataje? Naona mnataka mtiki box tu posho ziliwe.

Hivi kweli haileweki ni vipi Simba, Enyimba, TP mazembe, Petro Atletico wapo katika mashindano? Mtu anahoji eti kwa nini Yanga hayupo kisa amecheza Fainali CCFC?

Tuwe makini katika kazi hasa hizi zinazopeleka taarifa kwa umma.
 
Salam za jumapili.

Nipo zangu ndani ya bajaji,ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African football league ukaanza. ( maarufu kama supa ligi)

Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita mwalimu, hata sielewi kama huyu huko hata kama awe anafundisha dini atakuwa anaeleweka.
Watangazaji nao wamebaki kushindwa hata kumsaidia kumpa ufafanuzi.

Shafii na Alex hiki kipindi naona mmeshindwa kukipa hadhi, mkifute kabisa.

Watu wazembe kama hao mnawawekaje studio, hata hao mnaowaalika mnawapataje? Naona mnataka mtiki box tu posho ziliwe.

Hivi kweli haileweki ni vipi Simba, Enyimba, Tp mazembe, Petro Atletico wapo katika mashindano?
Mtu anahoji eti kwa nini Yanga hayupo kisa amecheza fainali CCFC?

Tuwe makini katika kazi hasa hizi zinazopeleka taarifa kwa umma.
hiyo sio tv ya watu wazima, ni ya watoto.
 
Tena wa vijiwe vya Kahawa.... Kuna siku usiku nikaBrowse Clouds online niskie Mziki wa Nyumbani.... Kuna nyimbo za bongo Flava sijui underground.... ziko 3 tu xiliReplay krb 1 hr..... nikajua hapa kuna shida
hata watangazaji wake wote mimi huwa siwaelewi,naona kama hawafungamani na upande wowote vile. wote.
 
Salam za Jumapili.

Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi).

Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita Mwalimu, hata sielewi kama huyu huko hata kama awe anafundisha dini atakuwa anaeleweka. Watangazaji nao wamebaki kushindwa hata kumsaidia kumpa ufafanuzi.

Shafii na Alex hiki kipindi naona mmeshindwa kukipa hadhi, mkifute kabisa. Watu wazembe kama hao mnawawekaje studio, hata hao mnaowaalika mnawapataje? Naona mnataka mtiki box tu posho ziliwe.

Hivi kweli haileweki ni vipi Simba, Enyimba, TP mazembe, Petro Atletico wapo katika mashindano? Mtu anahoji eti kwa nini Yanga hayupo kisa amecheza Fainali CCFC?

Tuwe makini katika kazi hasa hizi zinazopeleka taarifa kwa umma.
Ni wewe tu umeamua kuwa mbishi unaweza kueleza kigezo cha Enyimba kushiriki hii michuano?
 
Salam za Jumapili.

Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi).

Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita Mwalimu, hata sielewi kama huyu huko hata kama awe anafundisha dini atakuwa anaeleweka. Watangazaji nao wamebaki kushindwa hata kumsaidia kumpa ufafanuzi.

Shafii na Alex hiki kipindi naona mmeshindwa kukipa hadhi, mkifute kabisa. Watu wazembe kama hao mnawawekaje studio, hata hao mnaowaalika mnawapataje? Naona mnataka mtiki box tu posho ziliwe.

Hivi kweli haileweki ni vipi Simba, Enyimba, TP mazembe, Petro Atletico wapo katika mashindano? Mtu anahoji eti kwa nini Yanga hayupo kisa amecheza Fainali CCFC?

Tuwe makini katika kazi hasa hizi zinazopeleka taarifa kwa umma.
Hakuna watu na taaluma yenye VILAZA hapa bongo km WATU WA HABARI. Kama unabisha taja jina la wenye walau ufaulu wa dv 2 HAKUNA. Woote ni dv 4 na ZIRO sasa watawezaje jua KUNA POINTS. Na hio timu wanayoitaja ina POINTS CHACHE
 
Salam za Jumapili.

Nipo zangu ndani ya bajaji, ghafla tu mjadala wa vigezo vy timu kushiriki African Football League ukaanza ( maarufu kama Supa Ligi).

Kuna mgeni amealikwa sijui wanamuita Mwalimu, hata sielewi kama huyu huko hata kama awe anafundisha dini atakuwa anaeleweka. Watangazaji nao wamebaki kushindwa hata kumsaidia kumpa ufafanuzi.

Shafii na Alex hiki kipindi naona mmeshindwa kukipa hadhi, mkifute kabisa. Watu wazembe kama hao mnawawekaje studio, hata hao mnaowaalika mnawapataje? Naona mnataka mtiki box tu posho ziliwe.

Hivi kweli haileweki ni vipi Simba, Enyimba, TP mazembe, Petro Atletico wapo katika mashindano? Mtu anahoji eti kwa nini Yanga hayupo kisa amecheza Fainali CCFC?

Tuwe makini katika kazi hasa hizi zinazopeleka taarifa kwa umma.
Enyimba kafikaje huko ? Tusaidieee
 
Nina miaka miwili sisikilizi hivi vipindi
 
Kabla ya kiwashambulia ulipaswa uje utuwelezee vigezo hivyo wasivyovijua wao na unavyovijua wewe... Inawezekana wewe ndio ukawa hujui kitu unakuja na mihemko ya k vant.

Hebu tutajie hivyo vigezo vilivyomfanya Enyimba kuwa super league au mazembe.
 
Back
Top Bottom