NHIF vipi wameita au bado

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,779
1,812
Wadau,
Hivi NHIF walishaita watu mwenye usaili uliofanyika mwakajana mwezi wa tatu..?

Namaanisha ule usaili(written interview)uliofanyika pale Duce kwenye positions mbalimbali ikiwemo Compliance Officer,Quality Assurance Officer,Membership Officer, IT personnel n.k

Mwenye taarifa anijuze plz
 
Kaka nhif niliwacheki kwa cm,wakaniambia walistop kuendelea baada ya ajira kusitishwa kipindi kile, lakin kama wapewa go ahead wataendelea na mchakato,
 
lakini NHIF ni idara inayojitegemea ajira zake hazipitii wala haziratibiwi na Sekretariati ya Ajira
 
Broo ajira zilipositishwa,zilijumuishwa taasisi zote za serikali,nhif in taasisi ya serikali chini ya wizara ya afya,japokua katika hizo taasisi zipo ambazo ajira zake ni centralised na nyingine decentralised, so kwa taasisi zote ajira zilisitishwa japokua palipokua panatokea uhitaji wa lazima walikua wanaomba vibali wanaruhusiwa then wanaajiri
 
Magu hahajiri, jk aliposema mtanikumbuka, kuna waliokua wanaimba tutaisoma namba! wacha tuisome mdo mdo, jana nlikua ofc ya tra nmekuta kompyuta km 6 front ofc hazina watu nlipojaribu dadis wakasema kz haziend na mkuu kasema hakuna kuajir waliopo wanatosha akizidsha wanacheza game!
 
Inamaana watu washaanza kuajiriwa?? Na wale waliopigwa stop waka jana vp??? Mwenye update anijuze plz
uongo wa mwendokasi..TRA watu wapo training bado hawajamaliza mafunzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom