mkuu, matokeo ya oral si wiki hii wala wiki ijayo. Pengine ni mwezi wa sita mwishoni, toka imefanyika oral interview wamekuwa busy sana na kazi za ofisi hata uchambuzi bado haujafanyika. Yawezekana, baada ya bunge la bajeti. Mwenye taarifa zaidi au tofauti na hii anaweza ku-share nasi.
CC:
TATIANA
via
MCHUNGUZI HURU