Nhif ni mradi wa kukusanya hela kwa wafanyakazi na wananchi wenye kipato cha kati. Gharama za ni kubwa kwa mwananchi wa kawaida. Kwa watu wazima 60+ ni kama hawatakiwi kuwa na bima.Mimi kama mtanzania wa hali ya chini naomba nitumie fursa ya kuwasilisha machache kuhusu NHIF -mfuko wa bima ,chakushangaza na kusikitisha nhif umeondoa baadhi ya dawa katika orodha yenu ya madawa kwa wanachama huku mkijua gharama ya dawa ni kubwa mno mtaani lakini ajabu zaidi michango ya wanachama iko pale pale. Mfano mmoja wa hizo dawa ni injection iron sulphate, ambayo bei ya mtaani ni Tshs 9000 mpk 15000. Hii inaumiza mno. Tu naomba liangaliwe
Wamenona kama kitimoto. Body mass index ya wafanyakazi wa nhif ni above standard.Makato na malipo tunayotoa yote yanaishia Kulipana mishahara na Allawance kubwa kubwa
Tafadhali badilisha hapo kwenye miaka 35 ukichangia kwenye mfuko huo.Huo ndio ukweli kuwa NHIF ni wezi wa mchana kwani mtu kama mie nimechangia kwa zaidi ya miaka 35 na nilikuwa siugui kijingajinga leo nimekuwa mzee na kustaafu napatwa na magonjwa yanayoendana na uzee eg Hypertension naandikiwa dawa na specialist ambayo anaona inanifaa lakini ajabu NHIF wametoa waraka kisirisiri kuwa tusipewe hizo dawa na badala yake tupewe dawa za hali yachini zenye low Quality sijui lengo lao tufe mapema? ukirudi kwa Dr anakwambia kuwa bora ununue dawa ambayo amekuandikia kuliko kukupatia dawa zilizopendekezwa na NHIF ....sasa nini hasa maana ya Bima kama hawawezi kufuata maagizo ya Drs wetu? kilichobaki NHIF ni kuibia wateja mchana kweupe
Wengine tumekata bima za binafsi kukwepa gharama kubwa za dawa za kila mwezi lakini nilipopiga namba yao ya huduma kwa wateja wananiambia ninawalaumu bure, wa kuwalaumu ni wizara ya afya waliowapa muongozo wa kuondoa hizo dawa. 😔Hahaha poleni
AhsanteMkuu kifurushi kinategemea mko wangapi kwenye familia.
Lakini kama mko watatu gharama yake inacheza kuanzia milioni 2.4 kwa class ya chini .......milioni 2.6 kwa class ya katikati .........na milioni 2.9 kwa class ya juu.
Maana kuna sijui bronze, silver na sijui nini.
Tofauti ya hizo bei ni kwamba unataka kwa mfano kwenye sector flani mfano meno coverage iwe kubwa, ya kati au ya chini na vitu vingine vingine
Lakini hicho cha 2.4 sio mbaya kwa maoni yangu.
Kuhusu hao wengine kwa kweli wala sikuhangaika kuwacheki. Tangu napata fahamu zangu nimekua na AAR nimeingiwa taamaa ya NHIF kwa kua mwaka jana waliboresha huduma na mambo nikahisi yatakua ya mamtoni kumbe utopolo juu ya utopolo.
Hao wengine kwa kweli itanibidi niwacheki nikipata mda. Uzuri wa AAR unaingia popote pale. I'm sure Jubilee lazima kina hospital hawataikubali sijui lkn.
Tafadhali badilisha hapo kwenye miaka 35 ukichangia kwenye mfuko huo.
Damn hii serikali kuna vitu vinafanyika vya ovyo sana. Afya ni kitu muhimu sana hawa wanacheza na maisha yetu sasa wizara inawezaje kutoa maagizo ya ovyo namna hiyoWengine tumekata bima za binafsi kukwepa gharama kubwa za dawa za kila mwezi lakini nilipopiga namba yao ya huduma kwa wateja wananiambia ninawalaumu bure, wa kuwalaumu ni wizara ya afya waliowapa muongozo wa kuondoa hizo dawa. 😔
Hadi dawa za minyoo eti hakuna kwa bima...mie nachefukaga balaaKiukweli wanataka tufe hawa, leo nimeenda hospitali ghafla daktari wangu ananiambia dawa zangu zote zimeondolewa na nhif, sasa hata hii bima ina kazi gani tena kwetu jamani? 😭
Ukiwa 60+ unalipia laki 9 kwa kundi la bima Timiza na wakati sera ya nchi wenye umri wa miaka 60+ wanatakiwa watibiwe bure! Sasa basi kwanini wasiwekewe kiwango kidogo cha hayo malipo?Nhif ni mradi wa kukusanya hela kwa wafanyakazi na wananchi wenye kipato cha kati. Gharama za ni kubwa kwa mwananchi wa kawaida. Kwa watu wazima 60+ ni kama hawatakiwi kuwa na bima.
60+ kwa NHIF bei hiyo hapo chiniUkiwa 60+ unalipia laki 9 kwa kundi la bima Timiza na wakati sera ya nchi wenye umri wa miaka 60+ wanatakiwa watibiwe bure! Sasa basi kwanini wasiwekewe kiwango kidogo cha hayo malipo?
Mkuu bei hapo chini kwa 60+ umeona ni ngapi?60+ kwa NHIF bei hiyo hapo chini
Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF na inapatikana katika hospitali na maduka ya dawa yaliyosajiliwaMimi kama mtanzania wa hali ya chini naomba nitumie fursa ya kuwasilisha machache kuhusu NHIF -mfuko wa bima. Ni jambo la kushangaza na kusikitisha NHIF kuondoa baadhi ya dawa katika orodha yenu ya madawa kwa wanachama huku mkijua gharama ya dawa ni kubwa mno mtaani lakini ajabu zaidi michango ya wanachama iko pale pale.
Mfano mmoja wa hizo dawa ni injection iron sulphate, ambayo bei ya mtaani ni Tshs 9,000 mpaka 15,000. Hii inaumiza mno. Tu naomba liangaliwe.
Kwani lazima uwe na NHIF njoo hata NSSF wako vizuriMimi kama mtanzania wa hali ya chini naomba nitumie fursa ya kuwasilisha machache kuhusu NHIF -mfuko wa bima. Ni jambo la kushangaza na kusikitisha NHIF kuondoa baadhi ya dawa katika orodha yenu ya madawa kwa wanachama huku mkijua gharama ya dawa ni kubwa mno mtaani lakini ajabu zaidi michango ya wanachama iko pale pale.
Mfano mmoja wa hizo dawa ni injection iron sulphate, ambayo bei ya mtaani ni Tshs 9,000 mpaka 15,000. Hii inaumiza mno. Tu naomba liangaliwe.
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya hua unatoa matibabu kwa kufuata utaratibu wa serikali na kuhakikisha kwamba kinachotolewa kwa wananchi kama tiba kimefanyiwa utafiti wa kutosha na kwamba hakina maadhara mengine zaidi ya malengo ya Tiba.Huo ndio ukweli kuwa NHIF ni wezi wa mchana kwani mtu kama mie nimechangia kwa zaidi ya miaka 35 na nilikuwa siugui kijingajinga leo nimekuwa mzee na kustaafu napatwa na magonjwa yanayoendana na uzee eg Hypertension naandikiwa dawa na specialist ambayo anaona inanifaa lakini ajabu NHIF wametoa waraka kisirisiri kuwa tusipewe hizo dawa na badala yake tupewe dawa za hali yachini zenye low Quality sijui lengo lao tufe mapema? ukirudi kwa Dr anakwambia kuwa bora ununue dawa ambayo amekuandikia kuliko kukupatia dawa zilizopendekezwa na NHIF ....sasa nini hasa maana ya Bima kama hawawezi kufuata maagizo ya Drs wetu? kilichobaki NHIF ni kuibia wateja mchana kweupe
Mkuu ulivyoelezea unaonesha unayajua haya mambo vizuri. Ila kumbuka wanaolalamika hapo juu ndi watumiaji halisia wa mwisho wa huduma.Kwa upeo wangu mdogo Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya unatoa huduma dawa zote za msingi kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla, hakuna ukweli wowote wa kuondolewa kwa baadhi ya dawa katika orodha, dawa aina ya intravenous iron sucrose(Iron sucrose Injection) ipo katika orodha ya dawa za NHIF na inapatikana katika hospitali na maduka ya dawa yaliyosajiliwa
zaidi mfuko hivi karibuni kwa kushirikiana na wizara ya afya umeongeza dawa nyingine zaidi 71 katika orodha yake ya dawa hii ni baada ya mapitio na maboresho ya orodha za dawa za msingi zilizoainishwa katika muongozo wa Tiba wa Taifa (Standard Treatment Guideline)