Ile inakua Siri na kuamua inategemeana na utashi wa mtu...Kwanini usipeleke malalamiko NHIF ....
Hii ndio forum yetu sisi wanyongeKwanini usipeleke malalamiko NHIF ....
Nhif Ni wezi walio thibitishwa kisheria...
Wanaboa kwa kweli. Wanajua magonjwa yanayowaandama wastaafu wengi, wamezuia fawa muhimu nyingi. Mfano dawa Za kisukari nyingi, Za hypertensjon nk unaenda dukani wanakwambia dose ya mwezi ni 170,000na hiyo ni moja. Daktari anasema wafanyakazi wadi TRA. Benki wanaruhisiwa bilar shida. Ubaguzi gani huo. Au ninyi hamtazeeka na kustaafu?Mimi kama mtanzania wa hali ya chini naomba nitumie fursa ya kuwasilisha machache kuhusu NHIF -mfuko wa bima ,chakushangaza na kusikitisha nhif umeondoa baadhi ya dawa katika orodha yenu ya madawa kwa wanachama huku mkijua gharama ya dawa ni kubwa mno mtaani lakini ajabu zaidi michango ya wanachama iko pale pale. Mfano mmoja wa hizo dawa ni injection iron sulphate, ambayo bei ya mtaani ni Tshs 9000 mpk 15000. Hii inaumiza mno. Tu naomba liangaliwe
Hapo uliposema wafanyakazi wa TRA,Benki wanaruhusiwa sijakuelewa ,naomba ufafanueWanaboa kwa kweli. Wanajua magonjwa yanayowaandama wastaafu wengi, wamezuia fawa muhimu nyingi. Mfano dawa Za kisukari nyingi, Za hypertensjon nk unaenda dukani wanakwambia dose ya mwezi ni 170,000na hiyo ni moja. Daktari anasema wafanyakazi wadi TRA. Benki wanaruhisiwa bilar shida. Ubaguzi gani huo. Au ninyi hamtazeeka na kustaafu?
Uchumi wa KatiWanaboa kwa kweli. Wanajua magonjwa yanayowaandama wastaafu wengi, wamezuia fawa muhimu nyingi. Mfano dawa Za kisukari nyingi, Za hypertensjon nk unaenda dukani wanakwambia dose ya mwezi ni 170,000na hiyo ni moja. Daktari anasema wafanyakazi wadi TRA. Benki wanaruhisiwa bilar shida. Ubaguzi gani huo. Au ninyi hamtazeeka na kustaafu?
Hahaha poleniKiukweli wanataka tufe hawa, leo nimeenda hospitali ghafla daktari wangu ananiambia dawa zangu zote zimeondolewa na nhif, sasa hata hii bima ina kazi gani tena kwetu jamani? [emoji24]
Hapo uliposema wafanyakazi wa TRA,Benki wanaruhusiwa sijakuelewa ,naomba ufafanue
Nahisi anamaamisha namba zao za kadi ya nhif zimepewa upendeleo na nhif sabab wana mishahara mikubwa hivyo wanachangia hela nyingi kila mwezi wanazokatwa kwenda nhif
Wao wakiandikiwa dawa na daktari mtu wa phamarcy akiziingiza kwenye stystem ya nhif zinapitishwa apewe.. wafanyakazi wenye mishahara midogo zinagoma kupita hizo dawa
Jana nimekua nafanya research mimi na familia tujiunge NHIF kile kifurushi cha bei ya juu kabisa. Inatakiwa km milioni moja na laki hivi. Nikacheki AAR kifurushi cha dizaini hiyo ila cha chini kidoogo ni mara mbili yake.Hapo uliposema wafanyakazi wa TRA,Benki wanaruhusiwa sijakuelewa ,naomba ufafanue
Mkuu hao AAR walikwambia bei gani kifurushi chao?na je hicho kifurushi kinacover familia nzima au ni kwa mtu mmoja tu?Jana nimekua nafanya research mimi na familia tujiunge NHIF kile kifurushi cha bei ya juu kabisa. Inatakiwa km milioni moja na laki hivi. Nikacheki AAR kifurushi cha dizaini hiyo ila cha chini kidoogo ni mara mbili yake.
Sasa kuokoa cost nika make conclusion ngoja nikate NHIF ila mimi nimezoea sana kwenda Agakhan hospital. Sasa nikasema ngoja niwapigie Agakhan kuwauliza vp mnapokea wenye bima za NHIF.
Nikajutaa. Eti wenye bima za NHIF wanaopokewa hapa Agakhan ni wafanyakaz wa TRA, Benki Kuu sijui na kampuni gani nimesahau jina. Wengine wote hatupokei labda uende kwenye vile vijibranch vya Agakhan.
Nilichoka kwa kweli.
Uzalendo utanishinda itabidi nijichange nikate tu AAR sasa.
Tena na watu hapa wanakatisha tamaa sijui dawa gani hupewi duh!
Mkuu kifurushi kinategemea mko wangapi kwenye familia.Mkuu hao AAR walikwambia bei gani kifurushi chao?na je hicho kifurushi kinacover familia nzima au ni kwa mtu mmoja tu?
Na je ulijaribu kwenda kuulizia kwenye kampuni zingine za bima kama Jubilee,Metropolitan na zingine mfano wa hizo?