MIKETHON1991
Member
- Aug 7, 2013
- 78
- 56
kwa sasa ni muajiriwa na nina kadi nilopata kupitia mke wanguUmeajiriwa bado unategemea wazazi? Hoja yako Ni ipi?
Sasa umeajiriwa unataka uendelee kutumia kadi ya wazazi? Pambana kivyakokwa sasa ni muajiriwa
Unapaswa kuachana na bima ya wazazi uanzr yako sasakwa sasa ni muajiriwa
mke anaweza kunufaika bima kupitia mume wake na mume anaweza nufaika kupitia mke wake.Unapaswa kuachana na bima ya wazazi uanzr yako sasa
nadhani mada hujailewa kidogo. nimependekeza ushauri utolewe hapo kwa kuzingatia miongozo na kama kuna utaratibu mpya pia tujuzaneSasa umeajiriwa unataka uendelee kutumia kadi ya wazazi? Pambana kivyako
Kama Ni kinyume Cha Sheria fungua kesi mahakaman udai haki yakomke anaweza kunufaika bima kupitia mume wake na mume anaweza nufaika kupitia mke wake.
hii ndivyo ninavyoelewa kwa mujibu wa sheria. sasa inapotokea wote watakiwe kuchangia hauoni kuwa ni kinyume na sheria (kama haijabadilishwa)
NHIF na wewe wote mna hoja za msingi sana,kaeni mezani mtapata muafaka mzuri.Habari wakuu,
Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada. Tulikuwa tukielekezwa kuwa unapojiunga na huduma ya NHIF utakuwa unachangia kiasi fulani kila mwezi kwa walio na vigezo. Pamoja na kuchangia pia, utakuwa na nafasi ya watu wengine wa karibu (I guess 4) kunufuika kupitia uchangiaji wako: mfano mama/baba, mke/mume, na watoto.
Hivi karibuni imetokea tumeelekezwa kwamba kama mimi nina bima ya NHIF nilioipata kupitia mzazi wangu au mke ambao hadi leo bado wanachangia basi kwa kuwa nimeajiriwa saivi nami natakiwa kuchangia.
Maswali ninayojiuliza:
1. Lengo la bima ya NHIF ni kila mwananchi kuwa na kadi ya bima au kila mmoja kuchangia?
2. Kama nilieajiriwa saivi nikianza kuchangia nitapatiwa kadi nyingine mpya au hii niliyoipata kupitia wazazi wangu/mke/mume nitaendelez kuitumia?
3. Je, hivi sasa nimekosa sifa ya kuwa mnufaika kupitia wazazi/mke/mume?
4. Kama ni sheria mpya inamanisha nini?
Tafadhali naomba ufafanuzi kwa kadiri ya miongozo ilivyo.
Taratibu..Kunakitu mchangiaji mmoja amekieleza. Kama mume au mke anafaidika na uchangiaji wa mmoja wapo. Kwanini sheria za NHIF zisiwe rafiki, ikiwa wote ni wafanyakazi( kumbuka serikalini ni lazima unkatwa kila mwezi) akatwe moja wapo?Kama Ni kinyume Cha Sheria fungua kesi mahakaman udai haki yako