G george greyson Member Joined Jan 17, 2014 Posts 9 Reaction score 1 Jan 18, 2014 #1 Kuna anaefaham kama nhif wameita watu kwenye interview?tafadhal anaefaham ningependa anifahamishe
Karikenye JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 564 Reaction score 280 Jan 18, 2014 #2 Bado na wametangaza nafasi ya Mkurugenzi Mkuu, unaweza kuomba pia!
runyaga JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 523 Reaction score 241 Jan 19, 2014 #3 Mwenye update atujuze make wahanga tupo wengi na mi nikiwa miongoni
Davion Delmonte Jr. JF-Expert Member Joined Oct 27, 2013 Posts 2,149 Reaction score 1,720 Jan 19, 2014 #4 Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi"
Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi"
Gogadi Senior Member Joined Nov 15, 2012 Posts 121 Reaction score 16 Jan 19, 2014 #5 Davion Delmonte Jr. said: Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi" Click to expand... Sijakuelewa...kwamba!!! ..hebu rudia tafadhari ili nielewe zaidi mkuu.
Davion Delmonte Jr. said: Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi" Click to expand... Sijakuelewa...kwamba!!! ..hebu rudia tafadhari ili nielewe zaidi mkuu.
Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 886 Reaction score 382 Jan 19, 2014 #6 george greyson said: Kuna anaefaham kama nhif wameita watu kwenye interview?tafadhal anaefaham ningependa anifahamishe Click to expand... kaka. kazi yako ku apply na kazi yao ni kuita. fanya yako mengine siku wakitaka wataita,labda kama una uhakika wa kupata
george greyson said: Kuna anaefaham kama nhif wameita watu kwenye interview?tafadhal anaefaham ningependa anifahamishe Click to expand... kaka. kazi yako ku apply na kazi yao ni kuita. fanya yako mengine siku wakitaka wataita,labda kama una uhakika wa kupata
H Harhombo JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 216 Reaction score 57 Jan 19, 2014 #7 Prince Akeem said: kaka. kazi yako ku apply na kazi yao ni kuita. fanya yako mengine siku wakitaka wataita,labda kama una uhakika wa kupata Click to expand... Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni.
Prince Akeem said: kaka. kazi yako ku apply na kazi yao ni kuita. fanya yako mengine siku wakitaka wataita,labda kama una uhakika wa kupata Click to expand... Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni.
Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 886 Reaction score 382 Jan 19, 2014 #8 Harhombo said: Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni. Click to expand... sio mbaya ndio lakini anavyoukuwa anapategemea as if ka ahidiwa atapata. ndio maana naona ni bora kama hana anapofanya ni bora atafute kwingine
Harhombo said: Kamaliza kazi yake ya kuomba na siyo vibaya akifahamishwa mambo yanavyoenda huko jikoni. Click to expand... sio mbaya ndio lakini anavyoukuwa anapategemea as if ka ahidiwa atapata. ndio maana naona ni bora kama hana anapofanya ni bora atafute kwingine
runyaga JF-Expert Member Joined Dec 23, 2013 Posts 523 Reaction score 241 Jan 20, 2014 #9 Davion Delmonte Jr. said: Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi" Click to expand... Mbona sasa mi hawajanambia niwape hiyo 50000 wakati niliomba
Davion Delmonte Jr. said: Haa waheshimiwa bado mna matumaini... watu wameshachomolewa 50000 ili kuitwa kwenye interview.. vip wewe mkuu "mkono mtupu haulambwi" Click to expand... Mbona sasa mi hawajanambia niwape hiyo 50000 wakati niliomba
K karrote Member Joined Oct 22, 2013 Posts 15 Reaction score 2 Jan 20, 2014 #10 wewe kama hujui kitu bora usijibu watu ambao wako serious wanahitaji kujua,NHIF ndio kwanza wanafungua applications na wanategea kuanza kuita kwa interview february na wala pale huwa hakuna rushwa kama unavyoongea.
wewe kama hujui kitu bora usijibu watu ambao wako serious wanahitaji kujua,NHIF ndio kwanza wanafungua applications na wanategea kuanza kuita kwa interview february na wala pale huwa hakuna rushwa kama unavyoongea.