Ngwear ft Fid Q: CNN

Ngwear ft Fid Q: CNN

CNN, Intro:

Kesha ka.. kesha kesha
Kesha ka.. kesha kesha (yeah)

Eyo Q, hakuna kitu tunafanya zaidi ya ku..
Kesha ka.. kesha kesha

Yaani tuna... yaani
Kesha ka... kesha kesha

haha tuna...
Kesha ka .. kesha kesha (yeah)
Bongo Records baby Holler!
Kesha ka .. kesha kesha..

Chorus:
Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
then tuko....high zaidi ya KLM
then tuna kesha kama CNN
Kesha ka.... kesha kesha
Ke kesha kama CNN
Kesha ka .. kesha kesha X2
 
Fid Q:

Usiniite half-man, niite man and a half,
You think small, and you'll remain small for life.
Hatuwezi piga same instrument but we can all be in the same key.. son
Experience makes a person better or bitter,
Naweza flow slow but brain inaeenda speeder.

Nasamistrain kama pain inavyoumiza,
na gain tu kila mida complain nazimaliza (what else?)

Naulenga mwezi na Jua hata nikiukosa nitatua tu juu ya nyota
na mambo yatakuwa shkopa,

Boss Fid kasema you need to try,
Ye so Police so please ni Halali sikatai.

Wala usimdiss kama MCs hata ukimrithi baadae,
Muulize weeds kama Fid wa siku hizi ana showbiz defined.

Masnitch wanamdiss Fid afu song yenyewe nishai,
Hawa see jinsi nnavyo *flow ka Gs Rewind**

•••Completely out of topic!!

Sema kajiwahi, tusimdiss maana song yenyewe nishai..!!

Hakuna hata sehemu moja ambapo Fid Q amehusisha kula bata, achilia mbali kukesha, hata kwa neno moja tu!
 
Chorus:

Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
then tuko..high zaidi ya KLM

then tuna kesha kama CNN
Kesha ka .. kesha kesha

Ke kesha kama CNN
Kesha ka .. kesha kesha X2
 
Ngwair:

Bastola cash and.. toa code someka,
wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka.

Nna pesa mingi mpaka natamani jiteka,
then watu wapo king...ston ka Jamaica.

Ni ma model, madodo waku roll na ma Gangasta,
Divas and Hustlers, Paper Chasers!

Nani anaeza piga ngoma kali ka hii???... me!
Nani anaeza gonga beat nzito ka hii?? ... P!

Yeah you know that ni Bongo Records true na Q east zoo tuko juu au siskii,
Usipime hizi records, ziko heavy place none above it man, you gotta love it man!

Leo ni mwendo wa gambe tu na Malavidavi, na warembo wakali matata ka Flavi.. (what?)

Tunapata zetu couple of rounds then ..yeah.. we outta of the town!
 
Ngwair:

Watu wana dough, yo mpaka soo,
na bado daily wanaget more.

Kwa mishe na kali flows!
Watoto wa mama wana blow!

Dada zao they **cursey curvy** (beki hazikabi),
Wataka tuwe wao baby daddys,
Wapate... ya ki Gangsta ki Hardcore!
tukikesha kama CNN.

Kwa kukesha na kula bata, tuko so allergic,
Kwa watoto wa geti kali, we are so magnetic.

Mapedeshee wanapigwa tu mitama counter,
Sie tunazidi chafua bedsheets za mama zao.

Tunajikinga japo wanamaindi kuzaa na sie,
Wana thamani ya Diamond na tunawabeba for free.

Issue zote unasimamia playboy anaunderstand,
Na leo kesho akizingua unatake her bestfriend!
 
CNN, Intro:

Kesha ka.. kesha kesha
Kesha ka.. kesha kesha (yeah)

Eyo Q, hakuna kitu tunafanya zaidi ya ku..
Kesha ka.. kesha kesha

Yaani tuna... yaani
Kesha ka... kesha kesha

haha tuna...
Kesha ka .. kesha kesha (yeah)
Bongo Records baby Holler!
Kesha ka .. kesha kesha..

Chorus:
Kama mifuko ndo imejaa zaidi ya ATM
then tuko....high zaidi ya KLM
then tuna kesha kama CNN
Kesha ka.... kesha kesha
Ke kesha kama CNN
Kesha ka .. kesha kesha X2
hahaha umetisha sanaaa
 
Fid Q:

Usiniite half-man, niite man and a half,
You think small, and you'll remain small for life.
Hatuwezi piga same instrument but we can all be in the same key.. son
Experience makes a person better or bitter,
Naweza flow slow but brain inaeenda speeder.

Nasamistrain kama pain inavyoumiza,
na gain tu kila mida complain nazimaliza (what else?)

Naulenga mwezi na Jua hata nikiukosa nitatua tu juu ya nyota
na mambo yatakuwa shkopa,

Boss Fid kasema you need to try,
Ye so Police so please ni Halali sikatai.

Wala usimdiss kama MCs hata ukimrithi baadae,
Muulize weeds kama Fid wa siku hizi ana showbiz defined.

Masnitch wanamdiss Fid afu song yenyewe nishai,
Hawa see jinsi nnavyo *flow ka Gs Rewind**

•••Completely out of topic!!

Sema kajiwahi, tusimdiss maana song yenyewe nishai..!!

Hakuna hata sehemu moja ambapo Fid Q amehusisha kula bata, achilia mbali kukesha, hata kwa neno moja tu!
fid kama alipanic hv 😅😅😅
 
Back
Top Bottom