Kendrick Rama
JF-Expert Member
- May 22, 2019
- 409
- 458
kwa mara ya Kwanza nilipata kushuhudia fid q au ngosha akifunikwa kwenye colabo la hip hop,
kwa kujiamini ngwea alimuweka verse ya kwanza fid hku akiamini atafanya comeback ya uhakika na ndio kilichotokea.
tujikumbushe ngwea mara nyingi alikuwa hna time ya kuandika mistari, yeye anatemea freestyle booth na mambo hukaa sawia,
CNN ngoma ya karne na kama unakajua hta kamstari kamoja tupia humu .
r.I.p Albert Mangwea