Nguzo za umeme kati ya Dodoma na Igunga

Nguzo za umeme kati ya Dodoma na Igunga

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,204
Reaction score
11,364
Wadau.
Mwenye uelewa naombei msaada. NImepita barabara ya Dodoma hadi igunga sijapata majibu ya zile nguzo mya zinazotengezwa. Je ni mpango wa kubadili zile za zamani ama ndo umeme wa gesi ili kuimalisha uwepo wa viwanda?
 
Hata ukiona barabara ya lami inajengwa utauliza kwanini inajengwa???? Umeshasema nguzo za umeme zinajengwa.......swali lako ni lipi? Kwanini hukuuliza wasafiri wenzako???? Kazi kweli kweli tukiwa na sample size kubwa ya aina yako!
 
Kinachokusumbua ni haraka kama unajisaidia nje tulia utaona kazi take ambayo unaifahamu
 
Kuuliza si ujinga ndugu yangu. Umejibu kimipasho sana. ninayohaki ya kuelewa ninapo kuwa na haja hiyo. ndo maana nikataka nijue maana hizo pesa ni kodi yangu hivo ninahaki ya kujua. wewe tulia tu utaelewa kupitia uzi huu..wamo wanao jua kuliko wewe
 
Yes ni haki ya mtu kuuliza jaman tusiwe wakaksi hivyoo bhana sio poa. Mtu anapouliza anahitaji more clarification so peoples tusiwe waguuumu thy way
 
Jinga hili sasa linauliza habari ya nguzo kwani hajui kwenye nguzo kunapita nini,basis kwa kumsaidia ni maji yanapelekwa tbr.
 
Wadau.
Mwenye uelewa naombei msaada. NImepita barabara ya Dodoma hadi igunga sijapata majibu ya zile nguzo mya zinazotengezwa. Je ni mpango wa kubadili zile za zamani ama ndo umeme wa gesi ili kuimalisha uwepo wa viwanda?
JF Member, ni mradi unaoitwa Backbone Investment Transmission Project (Double Circuit), wana upgrade grid ya taifa na hiyo line inatoka Iringa - Dodoma - Singida - Shinyanga then Singida - Arusha. Line ya zamani ni Single Circuit hii mpya ni double circuit. Mimi si mtaalamu wa umeme lakini kwa uelewa wangu wa reasoning tu ni kuwa hii line itakuwa na uwezo wa kubeba umeme mkubwa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Kinachokusumbua ni haraka kama unajisaidia nje tulia utaona kazi take ambayo unaifahamu

eti napo umejibu duh. hawa ndo GT wetu. ni mhimu kujua nini kinaendelea . naamini hujui ndo maana..basi tulia tu utaelewa kupitia uzi huu. watalaam wapo
 
JF Member, ni mradi unaoitwa Backbone Investment Transmission Project (Double Circuit), wana upgrade grid ya taifa na hiyo line inatoka Iringa - Dodoma - Singida - Shinyanga then Singida - Arusha. Line ya zamani ni Single Circuit hii mpya ni double circuit. Mimi si mtaalamu wa umeme lakini kwa uelewa wangu wa reasoning tu ni kuwa hii line itakuwa na uwezo wa kubeba umeme mkubwa zaidi

Umeisha fafanua vya kutosha. Kwa kuongeza tu umeme utakao bebwa ni 400kV tofauti na hii single circuit ambayo tunayo kwa sasa ina 220kV.
 
Last edited by a moderator:
Wadau.
Mwenye uelewa naombei msaada. NImepita barabara ya Dodoma hadi igunga sijapata majibu ya zile nguzo mya zinazotengezwa. Je ni mpango wa kubadili zile za zamani ama ndo umeme wa gesi ili kuimalisha uwepo wa viwanda?

Wakati tunawaambia serikali imefanya makubwa nyie mnaoishi mjini mkaishia kusema hakuna kitu ...hiyo nayo mnabeza?
 
Ushaingiza siasa, Mheshimiwa Serukamba kuna mtu anakuhitaji huku
 
Jinga hili sasa linauliza habari ya nguzo kwani hajui kwenye nguzo kunapita nini,basis kwa kumsaidia ni maji yanapelekwa tbr.

Kuna wtu mnatakiwa mpunguzwe humu JF, Hamna maaana kabsa, nani ameuliza kwenye hzi nguzo wanapitisha kitu gani?
 
Back
Top Bottom