Nguzo mama

Lazima tuwaheshimu wakina mama kwani majukumu wayabebayo ni muhimu na mazito!!!!
 
Akinamama wa zamani hao.Hawa wa siku hizi abebe majukumu kama hayoo!!thubutu yakeee
 
wazaman wa siku hz kaz hz wanawaaxhia ma bek 3
 
Huyo mumewe nae anadeka sana.

Hataki kusaidia hata kidogo basi japo mzigo hapana! mtoto huyo mkubwa hapana!

Sasa nini maana ya kuwa mwanamme!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…