Nguvu za Soda: Alitaka kukimbia kumbe hana brake

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,943
18,665
c654d41c921169b854b9bcb90d27b253.jpg
S01E01: Wenye busara walimueleza ila Nguvu za Soda aliwaita ni wachokonozi. Wapo mpaka aliowaamishia makazi yao jela imradi tu wasimchokonoe. Wakaona isiwe shida acha wafunike kombe mjinga apite. Milipuko ikaendelea.

S01E02:Nguvu za Soda, akajitutumua kutumbua vichunusi vya usoni huku majipu akiyapaka dawa ya meno na kuyaacha yakauke yenyewe. Cha kushangaza hata vichunusi alivyotumbua usoni vimeamia mgongoni. Wachokonizi wakaongea na wakanyamaza. Mwisho wa siku hata vichunusi kashindwa kuvitumbua anatafuta vipele.

S01E03: Nguvu za Soda akakimbilia na kupangia bei wafanyabiashara. Akapiga sarakasi za kutosha mwisho wa siku akaishia kuwasingizia wapiga dili huku bei ya sukar kitaa ikipanda. Mpaka leo hazungumzii bei elekezi.

S01E04:Tukatangaziwa na mapato yake hewa, ila leo mifuko imemtoboka. Anaona aibu sasa kutangaza hata mapato yake. Katuma vibaraka wake watafte mikopo kwa majirani lakini majirani wakagoma. Vibubu vyote vya ndani kabomoa sasa anataka akabomoe na vya wapangaji wake kibabe.

To be continued.........
 
Mawaziri wapo Dodoma kwenye Madarasa ya UDOM na hakuna dalili ya kupata mipunga ya kujenga ile reli tuliyoambiwa itaanza December...Habari za ndani zinasema na Waturuki wamechomoa maana Nguvu ya Soda hasomeki
nasikia ht waadhir wa chuo kile wamepewa notic za kuhama kwe nymba za chuo ili mawazir wakae bhn..hahaaa
 
Wauza ngada mbona mna weweseka hivi? Subirini 2020 mtaipata fresh!

Ninyi kazeni kupiga majungu tu
 
Wahenga walisema, mswahili hana jema. Usisubiri kuona kwa macho bali kwa mbongo zenu, ila mpaka muwe nazo na bado zimo.
 
Back
Top Bottom