Nguvu za kiume!

Elton John na George Michael (R.I.P) wanayo hiyo kitu lakini nini habari yao? tafakari upya hayo maoni yako
 
Mwanamke unapomuo na kuamua kuishi naye ina maana kwao hakukuwa na senti hata kidogo?!

Huu usemi hauko applicable kila mahali.
 
Tafwadhali yakhee so bila nguvu za kiume watoto watapatikanaje? Au utanunua mbegu?
 
Kamuulize manji kama kweli hiyo ni nguvu ya kiume...
 
Nguvu za kiume Kwa kingreza zimaitwaje vile?, je hivi vichinjio vyetu kusimama mpaka vinaielekea mbingu ndio nguvu za kiume zenyewe?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…