Guys unajua nguvu za kiume tunaweza sema ni utendaji wa misuli kwenye uume ambapo utendaji huo unafanya kazi kwa ufanisi zaidi pindi tuu mirija ya damu inayozunguka misuli hiyo ikiwa katika hali yake ya kawaida .
Kwa maana kwamba isiwe na mafuta mengi yazungukayo kwa nje au kwa ndani ili kuruhusu mzunguko wa damu kwenye misuli hiyo.
Inashangaza miaka ileeee wazazi wetu una kuta copy and paste kama 20 hawa hana wasiwasi na kulikuwa hakuna haya matangazo kibwena ya nguvu za nininini sijui kama bado hamjamjua mchawi yenu basi mna kazi.
Mtu anabana pua kabisa usiikaushe sana hiyo chips unategemea huyo mtu penye game atalingita inavyotakiwa?