Nguvu za kiume kwa mazoezi tu

Nguvu za kiume kwa mazoezi tu

sasa ungewembia na virutubidho ndani ya mwili maana mpaka uume usimame lazima kue na vitamin iliyohusika hausimami tu na kua imarakama vitamin za kuipa misuli nguvu hazipo
 
Bado siiamini hii njia hii ni hatari mwenye ufahamu atoe ushuhuda. Tusisome kila kitu na kukifanyia kazi isije ndo unajiua kabisa
Kama ambavyo ukinyanyua vyuma na push-ups kibao mwili na misuli yako inatuma na nyama zinavimba (mfano biceps)...ndo ilivyo misuli ya sehemu zingine..ikifanyiwa mazoezi inabadilika for good or for worse ....kumbuka hata kunyanyua sana vyuma nako kuna matatizo...
 
wahindi na warabu sometyme wanachanganya mana niliona hiyo clip sasa sijajua km ni waharabu nikajua ni wahindi mana alikuwa anaelezea araf inapita subtitle ya english chini
ila nimekupata vema 7bu nami huwa nafanya

Tokea uanze kuyafanya umefaidikaje? je kuna vitu kama pumzi na stamina unavizungumziaje?
Maarifa yako tafadhali.
 
Hii hatari sana. Kujichua si utamaliza tena huko huko bafuni au jikoni
 
Mwanaume anefanya mazoezi ya kuimarisha misuli ya uume hawezi kuwa sawa na mwanaume asiyefanya mazoezi haya sio tu katika kuimarisha nguvu zake za kiume lakini pia kuweza kujitawala katika tendo la ndoa na kuweza kumfikisha mwanamke katika raha ile inayotakiwa.
Mazoezi haya yakifanywa kwa dhati yanaweza kumpa mtu matokeo mazuri sana ilimradi afuate utaratibu atakao takiwa aufuate.
Hizi ni miongoni mwa faida zinazopatikana kwa kufanya mazoezi haya ni hizi zifuatazo:
Kwanza humpa uwezo mwanaume kuweza kusimamisha uume wake kwa muda mrefu zaidi kuliko ambavyo alikuwa anaweza kuusimamisha kabla ya kufanya mazoezi haya.
Pili mazoezi haya hufanya mtiririko wa damu kwenye uume uwe mzuri hivyo kuufanya uume uwe na nguvu na kuondoa kabisa tatizo la nguvu za kiume.
Tatu humpa uwezo mfanyaji wa mazoezi haya kukawia kumwaga mbegu hivyo kumpa nafasi mwanamke aweze kufikia katika kilele chake pasi na kumkatishia njiani.
Vifaa Unavyohitaji
1. Mafuta ya mizeituni (Olive Oil) au mafuta ya nazi au Alizeti au mafuta ya mgando (gel)
2. Jiko lolote ili upate mvuke wa kutosha unaweza kutumia jiko la mchina, stove, au hata la mkaa lakini isiwe moto mwingi uwe kiasi tu lengo ni mvuke
3. Kitambaa kisafi na laini na maji safi ya uvuguvugu

Namna ya kufanya mazoezi ya Kuongeza nguvu za kiume
1. Loweka kitambaa chako katika maji ya uvugu vugu kisha anza kwa kuusafisha uume wako kwa kitambaa laini cheye maji ya uvugu vugu kama unauchua uume kwa kuuvuta mbele. Fanya zoezi hili kwa dakika tatu.

2. Pakaa mafuta yako kwenye viganja vyako viwili vya mikono yako kama vile unataka kujipaka mafuta mwilini.

3. Weka viganja vyako ili vipate mvuke wa moto kutoka katika ama jiko la mchina, stove au kitu chochote utakachotumia. Ukiona viganja vimepata joto kiasi cha kutosha siyo mpaka uungue mikono, kisha

4. Kamata uume wako ukiwa unauchua kwa kuuvuta mbele kwa nguvu kidogo sana ukianza na mkono wa kulia alafu wa kushoto au kushoto halafu kulia vile utakavyoona inafaa. Joto kwenye mikono likiisha rudisha mikono yako uipashe tena ili ipate joto kisha rudia kuuvuta vuta tena uume kwa muda wa dakika kumi.
Kumbuka
Mazoezi haya hufanywa mara mbili asubuhi tu mtu ukiamka na wakati ukitaka kwenda kulala na ni kwa muda wa wiki tatu. Utaona matokeo yake.

Source: Fanya Mazoezi Haya kwa Wiki Tatu Kuongeza Nguvu za Kiume! | Asili Yako

Kuna ukweli kwenye hili???
shutterstock_208725385.jpg
 
Atakae hitaj maelekezo kwa njia ya video nitamsaidia na haya maelekezo yanatolewa na waarabu but kwa lugha ya kiingereza
Nadhani kama sijakosea mazoezi haya na mengine mengi yapo kwa tovuti ya tarutao.com wakati nabalehe na baadae kidogo nilikuwaga busy sana na haya mazoezi sijui bado Kama tarutao ipo hewani now that nna umri wa kutosha priorities zumekuwa tofauti
 
Nadhani kama sijakosea mazoezi haya na mengine mengi yapo kwa tovuti ya tarutao.com wakati nabalehe na baadae kidogo nilikuwaga busy sana na haya mazoezi sijui bado Kama tarutao ipo hewani now that nna umri wa kutosha priorities zumekuwa tofauti
True
 
Back
Top Bottom