Nguvu za kike na utajiri

Nguvu za kike na utajiri

painboy

Senior Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
110
Reaction score
51
Nikiwa na lepe la usingizi naandika uzi kama ifuatavyo

Wanawake ni chombo cha utajiri sema hujui jinisi gani ya kukitumia kuvuna utajiri ila unajua jinisi ya kukitumia kam chombo cha anasa.

Naimani mwanamke ana nguvu kubwa kwenye kila mafanikio yako kama utamtumia ipasavyo na akakupenda kweli

Mwanamke akisema aamue kufanya kitu kwenye hii dunia hashikiki iwe biashara ,elimu,n.k ndio maana mababu waliakaataa kuwapeleka shule

Nataka niwape somo vijana kuwa mtumie ulienae kuvuna umilionare sio kuchakata nyapu tu uku unazeeeka utazikwa na boksi

Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui kama umefanaya utafiti au la
Ila wanawake wanauwezo mkubwa sana, sema naona kama wanaohitaji starter na kupewa dira ukimaliza hayo muache atiririke utashanga mwenyewe mambo yanavyojipa anyway namkubali sana manzi wangu.
Umeona kaka niko nafanya risechi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maanisha ni mtumie hili niweze kuwa millionea au sijaelewa swali?
 
Labda wanawake wa abroad sio hawa... Speaking from experience
 
Ngoja nivute KITI niketi ili nisubiri Michango zaidi ya WADAU
 
Mleta mada hujajajibu swali la KWA NAMNA GANI/ HOW????

Goite
 
Back
Top Bottom