Hauko siriazi,kama umegundua mtoto ni vigumu kukufuata mfuate wewe huko aliko,ina maana majukumu yamekubana kuanzia tarehe 1 hadi tarehe moja ya kila mwez?
Nenda wewe,mfuate,umpe dozi ya maana,mtoto wa kike ukimwin moyon mwake hata wazazi hawaelewi na wala hawasikilizi utajikuta anaondoka tu kukufuata hata bila kuaga,ubize utakupotezea bahati badae uje hapa kulia lia kumbe ni uzembe wako.
Ukae tu ukijua ukimwin mtoto wa kike moyoni mwake wewe ndio unakua Mungu wake,mzazi wake,anakupa atenseni kubwa kuliko Mungu halisi na wazazi,you just win her heart.