habari za majukumu wakuu..nahitaji utundu kidogo wa kucheza na maneno kuna binti niko naye mbali kimkoa...,sasa bhasi nahitaj kumshawishi aje mkoa nilio mimi hii ni kutokana na mimi kubanwa na majukumu kidogo na nimefanya hivi sababu kubwa ni wazazi wake hawataki apate mtu kutoka tanzania sasa najaribu kumshawishi bila yeye kujua ila shughuli ipo kwa wazazi wake anawaogopa sana kwamba ataaga anaenda wapi...nipeni mbinu wadau..mada mezani hapo twende kaziii yale maswali ya kwamba nina miaka mingapi hayana umuhimu hapa