Nguvu ya saikolojia

Hiyo hiyo nguvu ya saikolojia inaenda hadi kwenye upungufu wa nguvu za kiume, ukiamini unatatizo hilo shughuli inaanzia hapo...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatakiwa uamini kuwa uko ngangari basi utapiga miti mpaka basi,nadhani hata sisi wenye vibamia ukiamini mzigo utakushinda kwasababu ya wowowo lake basi tatizo huanzia hapo,inatakiwa akija unamwomba dog style unamshughurikia mpaka basi.
Wenye vibamia tusiiogope mizigo mikubwa,tuombeni nao match tu.
Nalog off
 
Zamani na Mimi nilikuwa nikimgegeda mwanamke bila ndomu najua nimeshapata ukimwi basi nakuwa na wasiwasi wiki nzima kwi kwi kwi
 
Kuna jamaa tulienda naye kwenye hizi stand up comedy, shoo zilipoanza jamaa alikuwa anacheka sana. Mmoja kati ya tulio enda nao akauliza unacheka nini? jamaa akajibu amefurahi, lakini yule mwingine hakuonyesha kufurahishwa na chochote mule ndani, ni kama alikuwa anasubiria kitu Fulani ambacho kilikuwa hakijafanywa. Hadi mwisho huyo mchekaji alionekana mwenye furaha na kusifia hizi stand up comedy zetu, lakini huyu mwingine alikuwa mkimya na some how serious, hakuonyesha kufurahishwa hata kidogo.
Binafsi sikuna cha kuchekesha pia, lakini mwenzetu alikuwa anacheka sana na alifurahi sana, Hi ni aina gani ya psychology? kwanini kuna watu vitu vidogo vinawachekesha na wengine haviwachekeshi?
 
Ahsante kwa somo zuri
 
Huyo atakuwa na matazo sio Bure
 
Zamani na Mimi nilikuwa nikimgegeda mwanamke bila ndomu najua nimeshapata ukimwi basi nakuwa na wasiwasi wiki nzima kwi kwi kwi
Wewe Kama Mimi nilishawahi kuumwa karibia mwezi, nikijua nimepata ngoma kisa niligonga Malaya.

Kumbe hata ukimwi sina., Nilienda Pima Daktari ananiambia Niko negative nikawa nambishia namwambia umekosea.Maana dalili zote za ngoma nilizipata.

Hypochondriasis ni noma.
 
Ni psychology ya ushamba mwingi
 
Nakumbuka wakati wa utoto nilipokuwa sitaki kwenda shule basi usiku najifanya naumwa najilaza na kuvuta hisia za kujihisi naumwa,basi baada ya muda mwili unakuwa wamoto na ukinitizama unaona kabisa naumwa na panadol napewa nameza.
 
Unatamani kuwepo kitu, huyo mtia kitu anakuwekea Mbegu fake, jaribu zangu uone sasa..
 
Ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…