Nguvu ya nyota na sifa zake

ameongea ukweli mtupu, ndivyo nilivyo sasa
 
Nyota yenye nguvu ya muhimu juu ya maisha yetu wote ni hua tu.

Inatupa mwanga, inatupa nishati na dunia inaizunguka.

Habari nyingine za unajimu wa zamani hazina mashiko.

Shakespeare alishaliona hilo na kuliandika zamani sana.
 
Maghufuli ni October 29, yeye ni nyota ya nge. Hizo tabia kwa maoni yangu ni sahihi kabisa

Whereas Lowassa ni august 26, ambayo ni mashuke.
kama Lowassa ni mashuke basi ni alikuwa mtu sahihi sana kwa sababu nyota yake inajieleza ni watu makini sana na wanaofanya kazi zao kwa ukamilifu
 
Nyota ya kaa naona ipo sambamba ns Mimi dah!July hiyoo
 
Nyota ya simba kuna mtu inamuhusu sana,big up mnajimu.
 

Ndiyo maanaaaaaaaa!
Naaam..watanikoma.
 
Mkuu, kwanza shukran sana Kwa unajimu wenye kiwango kilichotukuka.

Napenda kujua kuhusu bahati kwa mtu mwenye nyota ya Kaa.
 
ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…