Nguvu ya kibubu

Nidhamu inahitajika; kuna jamaa alishakifumua fumua wiki tu kisa hela ya laga baada ya kuonjeshwa offer mbili za mwanzo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli
 
Kuna siku demu flani ananiita alafu sina kitu, haikufika hata mwez nikakivunja. Nashukuru mwaka huu nilitunza kuanzia mwezi wa kwanza hadi wa nne nikavunja nikawa na kama 800K...nimeanza tena kukivunja hapa mwez wa saba hivi[emoji120]
Daah mzee imetulia hiyo, papuchi haitakiwi ikuzidi nguvu asee.. Ulikuwa unaweka randomly au fixed amount?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…