Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,812
- 40,297
Viongozi wetu walijisahau sana watu walikuwa wanatekwa Kila baada ya muda mfupi Yani utadhani mfuga kuku anachagua kuku wa kuchinja bandani kwake. Na viongozi hawakuonyesha kushtushwa hata kidogo. Waliona sawa.
Sasa Leo wametindinganya mambo TBC inakuja na vipindi vya kujikomba Kwa vijana. Asubuhi mpaka jioni ni uzalendo na malezi Kwa vijana na mikopo hii ni ghiliba. Haya mambo yalitakiwa yasemwe wakati utekaji umepamba moto. Kwasasa ni kama tumechelewa mpaka jamii imewakinahi.