Hao nguruwe ni dini gani?Nnauza Nguruwe wadogo Kwa wingi kuanzia watano au zaidi. Hasa kwa wale wanao taka kufuga Wapo kati ya miezi 4,5 na 6. Bei tunaelewana. Napatikana Hombolo Dodoma. Tuwasiliane 0789656265
WaislamuHao nguruwe ni dini gani?
Hao nguruwe ni dini gani?
Hekima hainunuliwi dukani ni kitu cha bure kabisa jaribuni kuitumiaWaislamu
nje ya dodoma una safirisha?Nnauza Nguruwe wadogo Kwa wingi kuanzia watano au zaidi. Hasa kwa wale wanao taka kufuga Wapo kati ya miezi 4,5 na 6. Bei tunaelewana. Napatikana Hombolo Dodoma. Tuwasiliane 0789656265
Sawa mdau.. Toka nitoe hili tangazo wamechukuliwa kwelikweli.. Kwasasa wamebaki nguruwe 7 tu, majike mawili unaweza pandisha kuanzia mwezi 12/january jike moja lina mimba linazaa siku yeyote ndan ya mwezi huu wa kumi, madume mawili yamehasiwa unanepesha mwezi 12/1 utaweza kuyauza.na madume mawili mengine ni mbegu utaweza kuyatumia kuanzia april. Hii itakuwa faida kubwa hasa kama unaongeza au ndo unaanza kufuga. Hao wote jumla bei yake ni 950000. Bei inaongeleka unaweza kufika saiti Hombolo karibu na sekondari. Karibu sana!Wewe uliyeuliza nguruwe ni dini gani wewe ni pumba kabisa! hebu weka bei mkuu tuchangamkie wengine tupo hapa hapa dom.
Upo sehemu gani mdau?nje ya dodoma una safirisha?
nguruwe wote waliotupiwa mapepo walielekezwa waende baharininguruwe yesu aliwatupia mashetani yakaanza kulia hovyo na kukimbia kimbia
Kwanini usiseme Ni mkiristo? Mshenzi mkubwa wewe unaleta udini unajua madhara yake?Waislamu