Nguo za ndani 'ch*pi' bafuni.

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Uswahilini kwenye nyumc za kupanga hii kitu ndo sana tu wadada wanapenda sana kuanika ch*pi zao bafuni sijui kwa nini?, unakuta mchupi umetundikwa kwenye msumari nyuma ya mlango wa bafu daah na ukijua mama flani ndo katoka kuoga ha ha ha ha noma kweli kweli.......
 

Ulianza vizuri nikidhani utakemea tabia hii isiyopendeza. Loh! umeishia kunichefua!
 
Hah!
Uko sawa kweli kichwani?
 
aiseee!! basi tunashukuru kwa taarifa.
 

utakuja kunusa za Wazazi wako. sijuo hiyo nyeto utakuwa umemempigia nani!!
 
Nilijua utaongea maana kumbe...
 
Weka na picha ili wagumu kuelewa tuwe nao sambamba
 
Hahahahaaaa.... Basi ukiona chupi unawaaazaaaaaa, unaishia kupiga nyeto.. Duh.
 

mna matatizo sana nyie mara sijui chupi zikianikwa nje mnapata nyege ...mara zikianikwa bafuni sijui nini..khaaa..tafuteni basi na vingine vya kujadili
 
Kuwa makini kwani kuna dilili kubwa kuwa utakuja kubaka hata mbuzi kwa ugaga ulionao. yaani "kyupi tu" kinakutoa udenda???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…