Nguo za kiume

Vine94

Member
Joined
Oct 1, 2016
Posts
38
Reaction score
22
Habari za jioni wakuu, mbele yenu ni kijana mfanya biashara wa nguo mbalimbali za kiume tazama baadhi kwa picha hapo chini.

Bei zetu ni nafuu Sana
T.shirts kwa 17000 tu.
Mashati kwa 18000 tu.
Kadeti kwa 22000 tu.

Pia kuna Bei ya jumla kwa mteja (kuanzia 3 pcs).

Tupo Kariakoo mtaa wa Aggrey na Kongo
Piga / WhatsApp 0744575261.
Karibuni sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukija mjin hzo shopping ntakufanyia mpaka upagawe 1m haikutosh kwa shopping tu?
Eeh mpaka nije mjini lini? Mpunga wako haujakomaa πŸ˜€ kutoka huku bush bado bado
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…