miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Sep 8, 2014 #21 mshana jr said: maskini kisa nini kwani! mbona Mamndenyi sio mgomvi kihivyo? hebu ngoja miss chagga aje kuthibitisha Click to expand... Hakuna kitu kama hicho katisingizia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: maskini kisa nini kwani! mbona Mamndenyi sio mgomvi kihivyo? hebu ngoja miss chagga aje kuthibitisha Click to expand... Hakuna kitu kama hicho katisingizia
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Sep 8, 2014 #22 Otorong'ong'o said: Huyo ni Mamndenyi akimtwanga miss chagga Click to expand... Mimi na ant yangu hatuwezi fanya dhambi hii Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Otorong'ong'o said: Huyo ni Mamndenyi akimtwanga miss chagga Click to expand... Mimi na ant yangu hatuwezi fanya dhambi hii
grafani11 JF-Expert Member Joined May 24, 2011 Posts 15,441 Reaction score 5,820 Sep 8, 2014 #23 Hicho ni kikundi cha sanaa za maigizo hapo kilikuwa mazoezini tu....kwa aliye mzoefu wa hayo mambo hapati shida
Hicho ni kikundi cha sanaa za maigizo hapo kilikuwa mazoezini tu....kwa aliye mzoefu wa hayo mambo hapati shida
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,234 Sep 8, 2014 #24 Kwa kweli Bishanga alikofia sijui ni wapi, nimemiss matambo yake. Mamndenyi said: Sikiliza, miss chagga ni anti yangu wa damu, Nitaanzaje kumpiga. Sema ni Kongosho anampigania Bishanga. Click to expand...
Kwa kweli Bishanga alikofia sijui ni wapi, nimemiss matambo yake. Mamndenyi said: Sikiliza, miss chagga ni anti yangu wa damu, Nitaanzaje kumpiga. Sema ni Kongosho anampigania Bishanga. Click to expand...