Nilikuja hapa muhimbili kumuona ndugu yangu anaumwa na ameshafanyiwa operation ya mguu.
nilipofika na gari yangu nikapaki pembeni kidogo na gari la mwaarabu mmoja.
Niliporudi kulichukua ile nakaribia tuu kufungua mlango nakumbana na matusi tena ya kiutu uzima sana.Yaani anaporomosha matusi kama hana akili nzuri,angeendelea ningemvunja mguu.
Vipi ndio kawaida yao kutukana hawa watu na ni wageni katika nchi yetu.
Ooyooo tatizo si mwarabu ni sisi wenyewe waswahili kutokuwa na mwamko wa kutafakari namna viongozi wetu wanavotupilika kama gari bovu na haya yote yana sababishwa na sisi wenye ngozi nyeusi kwa kutobadili nyumba au ni chama na kama tukiweza kubadili chama na kuja kwa tanganyika basi hapo hishima nayo itakuja na kaa utafakuru na kutafakari na matusi si mtaji wa maendeleo na sisi ngozi nyeusi tumezidi kwa mitusi kama vile nilaana na chunguza utayaona
Huyu makubazi kamuelewaje msapwata?Mbona kam-support haraka haraka wakati mi nimetoka kapa?Utadhani mmoja kamwambia mwenzie kuwa kaandike halafu mie ntakuja kupaka/kuua/kushadadia......dah!
tabia ya mtu inatokana na maadili aliyokulia,kwa kuwa kazaliwa tz,kakulia tz,hizo ndizo tabia zetu wabongo,ukitaka kujua tabia za mwarabu,mzungu,muhindi,watembelee kwenye nchi zao..........................halafu ndio utoe maamuzi.
Nilikuja hapa muhimbili kumuona ndugu yangu anaumwa na ameshafanyiwa operation ya mguu.
nilipofika na gari yangu nikapaki pembeni kidogo na gari la mwaarabu mmoja.
Niliporudi kulichukua ile nakaribia tuu kufungua mlango nakumbana na matusi tena ya kiutu uzima sana.Yaani anaporomosha matusi kama hana akili nzuri,angeendelea ningemvunja mguu.
Vipi ndio kawaida yao kutukana hawa watu na ni wageni katika nchi yetu.
Wewe ulisubiri akutukane matusi mapya nini? Wee mtu ameishakutukana tiyari Et nilisubiri aendele Aone!!! Dawa ya kiburi jeuri' Tatizo watanzania tumejawa na uoga wa ajabu mno, mpaka sasa umeogopa mpaka kuandika vyema mada umeshindwa Ndugu!!
Nilikuja hapa muhimbili kumuona ndugu yangu anaumwa na ameshafanyiwa operation ya mguu.
nilipofika na gari yangu nikapaki pembeni kidogo na gari la mwaarabu mmoja.
Niliporudi kulichukua ile nakaribia tuu kufungua mlango nakumbana na matusi tena ya kiutu uzima sana.Yaani anaporomosha matusi kama hana akili nzuri,angeendelea ningemvunja mguu.
Vipi ndio kawaida yao kutukana hawa watu na ni wageni katika nchi yetu.
Mkuu hao ni wahisani wanachangia zaidi ya 40% ya bajeti yetu. Next time akikutukana piga magoti omba samahani kwasababu ukimtukana hawatachangia bajeti. Huyo anahasira kwasababu ametoka kuchangia bajeti ya wizara ya afya.