Ngozi Conchita

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Kwa kumtazama haraka haraka unaweza dhani ni kama muigaziji hivi katika tamthilia fulani, kumbe ni Afande wa Polisi nchini Nigeria, Ngozi Conchita, mwanadada huyo ameweka historia kwa kuwa Afisa Uhusiano wa Kwanza wa kike wa Jeshi hilo Kanda Ya Lagos, huku akiwa ni wa 16, kushika nafasi tangu kuundwa kwa jeshi hilo. Mbali na nafasi hiyo ameshawahi kushiriki katika kikosi maalum cha kulinda amani Nchini Liberia mwaka 2006


.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…