NGORONGORO IS JUST BEAUTIFUL!

Kiukweli ngorongoro ni pazuri saana.

Kabla hapaja jaa watu wa kusumbua sumbua wanyama kama nyati,tembo tulikuwa tunapishana nao 100meters...

Ngorongoro ni moja ya sehemu nzuri sana Tanzania.
Mi hapajawahi nikinai kusema kweli, nishaenda mara 3 but still I want to go more and more
 
Mi hapajawahi nikinai kusema kweli, nishaenda mara 3 but still I want to go more and more
Ni pazuri saana saana kwanza ukishaingia getini hewa inabadilika unajihisi umeingia dunia mpya...

hayo maeneo nayajua kwa kiasi chake... zamani kulikuwa na bus linatusafirisha kuingia kule chini linaitwa Nyambizi kama sikosei walipewa na OBS... tulikuwa tunaenjoy saana.
 

Wow! If it is on that side, yeah, Tanzanians are so peaceful people, kindly and very welcoming. Am proud to be a Tz.
 
Wajanja wajanja na mibahili sana

Basi kuna jamaa yangu walimfanyia Umafia sana alikuwa amevaa Tshirt yenye bendera ya Kenya wakajua ni Mkenya...Wakaanza kusemezana hawa Wakenya ndivyo walivyo...nikajua hapa kuna tatizo!
 
Wow! If it is on that side, yeah, Tanzanians are so peaceful people, kindly and very welcoming. Am proud to be a Tz.

Hilo hata mimi nimeliona,
Nilivyokuwa naondoka Arusha nilifuatwa na kundi la Wamassai fulani wakanivalisha Kidani fulani shingoni wakisema ni zawadi yangu, wamenitengenezea wenyewe na wananishukuru sana. Kiukweli nilifurahi mnooo kuona watu wameniheshimu vile wakati hata hawanifahamu...
 
Wakati mwingine usiishie Ngorongoro tu tembea mbele hadi Olduvai... or kule kwenye shifting sand Engaruka and Natron.
 
Wakati mwingine usiishie Ngorongoro tu tembea mbele hadi Olduvai... or kule kwenye shifting sand Engaruka and Natron.

Shukrani mkuu tutafika,
There is always a next time!
 
Nilikwenda huko wakati teknolojia ya simu janja bado haijafika Tanzania,
Walau ningekuwa na kumbukumbu ya picha.

Sijui bado wanatumia kale kanjia kembamba kanakotisha?
Ama wametanua?

Simba bado wanapiga story na binaadamu?

Masai bado wanachunga ng'ombe kule bondeni?

Ngorongoro nitarudi tena nikijaaliwa uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…