Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,201
- Thread starter
- #21
Trust me.we fanya mazoezi ya gym au boxer halafu uone kama hamu ya sex inakujaga.Mwili hukataa vitu km ivyo automaticallyTizi sio substitution ya sex, pia maji hayasahau mkondo kamwe! ila nakupa big up kwa kupima maana inataka moyo!
Itategemea lakin kama unafanya tiz kweli au unacheza cheza Tu.Mi nafanya kweli sababu niliwai fanya kipindi cha nyuma