Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,201
Niaje wajuba
Aiseee Leo ninafuraha Sana wakuu.Nimetoka kupima ngoma muda huuu na majibu yako safiii yani swafiiii yani bariiiiidaaaa hadi raha.
Aisee kumbe ukipima ngoma na ukijikuta huna ndo unakuwa na furaha kiasi hiki,Ngoja nimalizie funda la mwisho Kisha niendelee kutype.Raha sana wadau,na nyie mkapime
Wakuu ni hivi, kwa miaka mingi nimekuwa ni muhanga hasa nikiskia habari za kucheki ngoma,yani nikibananishwa hadi tumbo linanichafuka kabisa. Sio mzee wa peku ila hili swala kwangu ilikuwa mtihani tena wa hesababu za Cycle.
Na sasa habari za kusex naweka kando rasmi kwa sababu hata dada zetu nao awaeleweki.Mfano,Kuna manzi flani niliduu nae,bda ya siku kazaa akaja getho na majibu ya vipimo ya HIV,kumuuliza eti nilipima HIV.dah hadi tumbo liliuma yani kwa maana kupima kwake yeye ni sawa na nilipima Mie.Adhabu yake nilimuacha.
Sasa Ni mazoezi Sana,kusali sana,Pombe nayo naacha rasmi nkitoka apa hadi kau hb kaludi
#Msukuma