Ngono ya lazima: Mwanamke anapomlazimisha mwanamume kushiriki ngono, huo ni ubakaji?

Jcbmmnl

Member
Apr 23, 2018
30
12
Wakati mwanamume anapofanya tendo la ngono na mwanamke bila ruhusa yake, huo ni ubakaji. Lakini je, inakuwaje wakati mwanamke anapomlazimu mwanamume kushiriki ngono naye bila ruhusa yake? Wewe una maoni gani kuhusu hilo?
 
Siyo ubakaji kwa muujibu wa sheria za Tanzania ila sehemu nyingine ni ubakaji. Kingine?
 
Kwani tafisir halisi ya KUBAKA inasemaje?

unlawful sexual activity and usually sexual intercourse carried out forcibly or under threat of injury against the will usually of a female or with a person who is beneath a certain age or incapable of valid consent — compare sexual assault, statutory rape

Zingatia zaidi hapo kwenye bold with color.
 
Mwanaume habakwi... Kama vipi si unagoma kudindisha itaingiaje sasa.. ukishadindisha manake umeridhia...
 
Wakati mwanamume anapofanya tendo la ngono na mwanamke bila ruhusa yake ,huo ni ubakaji. Lakini je inakuwaje wakati mwanamke mwanamume kushiriki ngono naye bila ruhusa yake? Wewe una maoni gani kuhusu h

Wakati mwanamume anapofanya tendo la ngono na mwanamke bila ruhusa yake ,huo ni ubakaji. Lakini je inakuwaje wakati mwanamke anapomlazimu mwanamume kushiriki ngono naye bila ruhusa yake? Wewe una maoni gani kuhusu hilo?
ke gan uyo anakusumbua lete nambaake uku tumwonye
 
Back
Top Bottom